Rico redi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 167
- 361
Duh nideclare interest ni kwamba kazi ipo sana tu
Fadlu kulikua na haja gani ya kuchezesha wachezaji nafasi ambazo sio zao kiasili chasambi full back???? Hamza no 6 seriously??? Kwamba hakukua na wachezaji sahihi hapo au kipindi cha kwanza hamza kaongoza kupoteza mipira hovyo
Yani katika maingizo yote at least rushine na naby camara tu the rest shida iko pale palee na Haya tuliyasema mwanzoni shida mashabiki Wa simba tukiambiwa ukweli hatutaki kuelewa na bahati nzuri mpira ni mchezo Wa wazi hauhitaji siasa
No 10 iliyoletwa maema sijui kwakweli ila mi sijaona chochote tukisema chama bado ni bora wanasema tuache kuishi kwenye kivuli cha mtu aliyepita unaachaje kumkumbuka chama ilihali wachezaji wanaoletwa hawafikii hata nusu ya ubora wake ??
Utamaduni Wa pira biriani naona unaenda kuzikwa rasmi yanga akichukua ubingwa kwa Mara nyingine sitashangaa
Wachezaji Wa hovyo kibu,hamza mzee Wa back pass zenye madhara,mutale, bado wameendelea kua key players sasa unawaza usajili wetu ulilenga nini hasa
Kazi kwakweli