Kwa pira hili hakukua na haja ya kwenda pre season Egypt

Abrahamu tofauti na lile shoot kipi cha ajabu ambacho kilifanyika au mi nilikua naangalia mpira kwenye TV special au ???

Ko approach ya simba saivi ni long range shooting na sio kucheza kitimu kufungua wapinzani na kupata matokeo

Sowah ni straika butu seriously????
Jana alipiga hata shoot 1 on target hukuona mpaka akawa anashuka chini kutafuta mipira

Na kwa uchezaji Wa Jana kila straika tutamuona Wa hovyo kama nyuma yake unategema ahoua na maema
Morice Abraham hujaona kazi yake?Neo Maema hujaona kiongozi?Simba hii wachezaji wasipo pigwa pini itakuwa tishio.Ukipata timu ina viungo ambao accuracy yao kwenye ku-shoot ni 90% kwenye goli la mpinzani ujue una timu, maana washambuliaji wengi sokoni sahivi ni butu

Kocha ashindwe mwenyewe kufanya selection nzuri.Kuanzia golini wako sawa,beki ziko sawa,wakata umeme kati safi, mbele kidogo bado lakini najua mwalimu na striker lefu kazi watafanya vizuri
SIMBA BINGWA
 
Mimi ni Yanga! Ila niwaambie mashabiki wa simba; mna kikosi kizuri sana msimu huu. Kwa hiyo mnachotakiwa kufanya kwa sasa ni kujitahidi kupunguza mihemko na malalamiko yenu yasiyo na tija.

Mpeni kocha, benchi lake la ufundi na wachezaji nafasi ya kupambana uwanjani pasipo na makelele/malalamiko yenu yasiyoisha! Na ambayo yanaweza kuchangia kuwatoa kwenye mstari.
Kwahiyo unaweza kua na kikosi kizuri halafu maneno yakafanya ufanye hovyo

Kwani mpira unachezwa mdomoni au uwanjani mpira si mchezo Wa wazi unaoonekana kwa kila MTU au????
 
Inawezekana anaficha,,,lakini ni jambo la hovyo kwasababu hata yeye haijui yanga,,,ina kocha mwingine na imeongeza wachezaji wengine.....nitamuelewa kama aliwaambia wachezaji wake wacheze kwa kurelax kwasababu kuna mechi mbili za muhimu mbele yao zinazokaribiana tarehe 16 na 20

Match ya kirafiki tu mnamaliza maneno...

Vipi kama kocha ameamua kuficha mipango yake ili aje amshtukize opponent wake kwenye community shield?

Vipi kama amewaandaa wacheze kwa utulivu kuepusha majeraha yasiyo na ulazima?

Msimalize maneno

Kaamua kuficha Mipango really??? Ko hata azim dewji naye hajui kuhusu hii kitu ko plan ya kuficha mpango ilikua ni pamoja na kuiambia timu ipoteze mipira hovyo na hamza kupoteza mipira na kucheza pasi chonganishi na hatarishi kwenye 18 hii yote ilikua Mipango ya kocha

Jana ulimuona sowah na ukumbuke sowah ni clinical finisher alipata nafasi hata 1 huku nyuma yake una playmakers 2 ahoua na maema mpaka akawa anaenda kujitafutia mipira hii yote ni Mipango ya kocha sio????

Hivi inakuijia akilini kwamba plan ya simba ilikua kucheza mpira Wa hovyo ili wamshtukize yanga hii ni simba day ya ngapi simba wanafanya so awamu zote tulikua hatumuogopi yanga ila this time

Tuna safari ndefu sana
Naweza kuwaelewa wale wanaosema Fadlu aliamua kuficha mbinu au kiwango cha timu.

Msimu ulioisha alikuwa anafanya hivyo wakati Simba ilipokuwa inakwenda kucheza mechi za CAF, hata upangaji wake wa kikosi unaona kabisa nia yake timu isicheze kwa mfumo rasmi ili isisomeke. Kuna mechi alitoa beki wote wa kati akamsogeza Duchu acheze kama beki wa kati. Ni wazi ukifanya vitu kama hivi performance ya timu lazima itayumba.

Binafsi nilishasema wasiwasi wangu kwa baadhi ya wachezaji hasa Maema, Sowah, Hamza, Kibu, Chamou na Ahoua ila ngoja tuone.
 
Kwahiyo unaweza kua na kikosi kizuri halafu maneno yakafanya ufanye hovyo

Kwani mpira unachezwa mdomoni au uwanjani mpira si mchezo Wa wazi unaoonekana kwa kila MTU au????
Simba ina kikosi kizuri sana msimu huu. Ni mapema sana kuanzisha malalamiko yasiyo na kichwa wala miguu. Kuanzia walinda mlango, mabeki wa pembeni, mabeki wa kati, viungo wakabaji, viungo washambuliaji, washambuliaji, nk. Maeneo yote hayo yana wachezaji zaidi ya wawili wenye ubora mkubwa.
 
Abrahamu tofauti na lile shoot kipi cha ajabu ambacho kilifanyika au mi nilikua naangalia mpira kwenye TV special au ???

Ko approach ya simba saivi ni long range shooting na sio kucheza kitimu kufungua wapinzani na kupata matokeo

Sowah ni straika butu seriously????
Jana alipiga hata shoot 1 on target hukuona mpaka akawa anashuka chini kutafuta mipira

Na kwa uchezaji Wa Jana kila straika tutamuona Wa hovyo kama nyuma yake unategema ahoua na maema
Morice Abraham ni mchezaji kiongozi nilianza kumcheki kipindi kile wanacheza na akina Kelvin John yale mashindano yao ya under 17 kitu kama hicho, nimecheki baadhi ya game akiwa duniani huko

Alichokifanya jana hajabahatisha ndio mambo yake ya kila siku(niamini mimi ukiwa na timu viungo wake wanauwezo wa kutembea na mpira,wanaweza ku-shoot na passing nzuri unakuwa na chance ya kuwin game zako nyingi)

Nimesema viungo wanoweza ku-shoot ni wazuri kwasababu kuna timu zinapaki basi kuwafungua utakesha(sasa hapo ndio utaona logic ya ninachokisema hapa)
 
Huyo unaweza kubishana naye Kwa akili yake inavyowaza unaweza Sema Chasambi kwenye mechi muhimu anacheza ile nafasi je hamza unaweza kumuanzisha namba 6 ikiwa Nje Una watu wa maana hata Yanga wenyewe wamejua ule ni uongo wa kocha nao wanajiandaa
 
Ile ni mechi ya exhibition tu kutambulisha wachezaji..fadlu ye mwenyewe ana kikosi chake mwenyewe 1st eleven ambacho kashapanga kuitumia tangu pre season..na hata kabla ya mechi ya Jana kocha wakati anahojiwa alisema wachezaji wengi asilimia kubwa wametoka majukumu yao ya timu zao za taifa kwahyo aliplan kuwapa few minutes baadhi ya wachezaji kwahyo vile vikosi vya Jana czan km ndo vikosi ambavyo anapanga kwenda navyo yaan chasambi acheze no .2 kweli au hamza no. 6 ..yeye tiyari ana plan yake subiri uone kikosi hyo trh 16
 
Lakini Chasambi hiyo nafasi kaanza kupangwa kwanzia mechi za kirafiki huko Misri, ni wazi kocha kuna namna anataka kumwamini katika kikosi cha kwanza. Ndio maana anachezeshwa sana katika eneo hilo katika mechi ili kutengeneza chemistry na wenzake.
 
Na wewe unaamini kuwa chasambi kwenye mechi serious atapangwa full back mbele ya kapombe na duchu ??
 
Sasa mze kwamba inatakiwa tuamini kipi?? Tunachokionaa au tunachokiamini Mimi nasema kitu kwasababu nimeona sio kwasababu nafikiri hivyo kwasababu siko kwenye akili ya kocha tunamjudge mtu kulingana na kile tunachokiona kwake full stop!!!!
 
Punguza mihemko mechi ya exhibition hyo. Fadlu alisema kabla ya mechi hyo n mechi ya mashabiki wa one wachezaji wao wapya..kila kitu utakiona trh 16...mpk mechi za exhibition mnataka u seriousness😂
 
Na wewe unaamini kuwa chasambi kwenye mechi serious atapangwa full back mbele ya kapombe na duchu ??
Kwenye nafasi hiyo kwa sasa Chasambi ni bora kuliko Kapombe na Duchu.

Duchu hafanyi lolote zaidi ya kurudisha mipira nyuma. Kapombe anajikaza tu ila mwili umechoka, matokeo yake ufanisi ni mdogo sana. Awe makini asije kufia uwanjani maana anatumia energy kubwa kufidia upungufu wa ufanisi wake.
 
Punguza mihemko mechi ya exhibition hyo. Fadlu alisema kabla ya mechi hyo n mechi ya mashabiki wa one wachezaji wao wapya..kila kitu utakiona trh 16...mpk mechi za exhibition mnataka u seriousness😂
Na yanga akimfunga simba sijui kichaka kipi kitabaki make utetezi umebaki kua
Anaficha mbinu Mara zote amekutana na yanga imekua ni kipigo sijui this time
 
Nayo ni matokeo tu ya mpira.....halafu Kuna ubaya Gani kocha kutoexpose kikosi chake mbona ni kitu Cha kawaida hata huko ulaya tunaona...tatizo mnakaza sana ubongo wenu ..hyo mechi ni exhibition tu mashabiki muone kikosi subiri tarehe 16 na michuano ya caf
 
Kwenye nafasi hiyo kwa sasa Chasambi ni bora kuliko Kapombe na Duchu.

Duchu hafanyi lolote zaidi ya kurudisha mipira nyuma. Kapombe anajikaza tu ila mwili umechoka, matokeo yake ufanisi ni mdogo sana. Awe makini asije kufia uwanjani maana anatumia energy kubwa kufidia upungufu wa ufanisi wake.
Hapo chasambi n Bora kuliko kapombe unatuongopea mzee....
 
Mimi ni Yanga! Ila niwaambie mashabiki wa simba; mna kikosi kizuri sana msimu huu. Kwa hiyo mnachotakiwa kufanya kwa sasa ni kujitahidi kupunguza mihemko na malalamiko yenu yasiyo na tija.

Mpeni kocha, benchi lake la ufundi na wachezaji nafasi ya kupambana uwanjani pasipo na makelele/malalamiko yenu yasiyoisha! Na ambayo yanaweza kuchangia kuwatoa kwenye mstari.
Mchawi tangia lini akamshauri Malaika? Hovyoooooooooooooooooo......!!
 
Hapo chasambi n Bora kuliko kapombe unatuongopea mzee....
Chasambi ni mkabaji mzuri zaidi na mwili wake una nishati ya kutosha halafu haogopi kugongana. Kina Zimbwe mlikuwa mnawasifia hawapati majeraha kwa sababu walikuwa wanaogopa kugusana na mtu.

Akili ya Kapombe imechoka ila anapambania ugali wake.

Chasambi atulie na ajikite kufanya mambo ya msingi kwanza, kaba, zuia, pandisha timu na aboreshe pasi zake akiwa eneo la kati ya uwanja, hiyo namba anaichukua.

Kitu pekee ambacho Kapombe anamzidi Chasambi ni zile cross zake na V-pass zake. Hapo inabidi avifanyie kazi ingawa Chasambi pia ni mtoaji mzuri wa pasi ndani ya 18.
 
Mimi ni Yanga! Ila niwaambie mashabiki wa simba; mna kikosi kizuri sana msimu huu. Kwa hiyo mnachotakiwa kufanya kwa sasa ni kujitahidi kupunguza mihemko na malalamiko yenu yasiyo na tija.

Mpeni kocha, benchi lake la ufundi na wachezaji nafasi ya kupambana uwanjani pasipo na makelele/malalamiko yenu yasiyoisha! Na ambayo yanaweza kuchangia kuwatoa kwenye mstari.
Timu ni nzuri ila kocha ni muongo
Hawezi kuunganisha timu
 
Back
Top Bottom