ee alitolewaSorry Ateba alipewa thank you?
Hakuna timu ya ushindani kitaifa hata kimataifa na hiyo September 16 inaweza kuwa ndio safari ya fadlu mark my wordDuh nideclare interest ni kwamba kazi ipo sana tu
Fadlu kulikua na haja gani ya kuchezesha wachezaji nafasi ambazo sio zao kiasili chasambi full back???? Hamza no 6 seriously??? Kwamba hakukua na wachezaji sahihi hapo au kipindi cha kwanza hamza kaongoza kupoteza mipira hovyo
Yani katika maingizo yote at least rushine na naby camara tu the rest shida iko pale palee na Haya tuliyasema mwanzoni shida mashabiki Wa simba tukiambiwa ukweli hatutaki kuelewa na bahati nzuri mpira ni mchezo Wa wazi hauhitaji siasa
No 10 iliyoletwa maema sijui kwakweli ila mi sijaona chochote tukisema chama bado ni bora wanasema tuache kuishi kwenye kivuli cha mtu aliyepita unaachaje kumkumbuka chama ilihali wachezaji wanaoletwa hawafikii hata nusu ya ubora wake ??
Utamaduni Wa pira biriani naona unaenda kuzikwa rasmi yanga akichukua ubingwa kwa Mara nyingine sitashangaa
Wachezaji Wa hovyo kibu,hamza mzee Wa back pass zenye madhara,mutale, bado wameendelea kua key players sasa unawaza usajili wetu ulilenga nini hasa
Kazi kwakweli
Umemaliza kila kitu Simba hakuna timu ya ushindani msimu huu inaweza kuwa msimu mgumu zaidi kwa simbaMakosa yanayotugharimu chama langu simba kiasi hata hiyo tarehe 16, Yanga anaweza kujipigia tu simba sc naomba niziweke katika makundi matatu
KUNDI LA KWANZA
Marking mbovu, najua kocha inawezekana anawafundisha wachezaji kuwa usikabe mtu kaba nafasi, ukweli ni kwamba mfumo wa kukaba nafasi japo ni mfumo wa kisasa lakini ni mfumo complex zaid kwa wachezaji hasa hawa wa kiafrika ambao mpira wao ni wa mtaani sio darasani. SOMO hilo limekuwa gumu kueleweka kwa wachezaji wetu na limefanya wachezaji wengi wa simba kutegeana kwenye kutafuta mipira pindi timu inapopoteza, kiasi inafanya timu kutafuta mpira kwa tochi, simba kwenye kutafuta mipira haichezi mutual play na kuwa aggressive kuutafuta mpira. Unaweza kuona mchezaji wa simba amehangaika yuko katikati ya mabeki au viungo wa timu pinzani kaupata mpira lakini wa kumpasia hakuna wachezaji wenzake wako mbali they are not connected.
KUMBUKA:Timu inapokuwa inapokonywa mipira mara kwa mara inatumia energy kubwa sana hivyo wachezaji kuchoka mapema kwenye kuusaka mpira pia hupelekea mipngo mingi ya kutafuta nafasi ya kufunga kuwa wasted na mwisho kupoteza
PILI
Kutokunusa Movements za hatari mapema, Hali hii inapelekea timu pinzani kwa simba inapofanya movement kuja kwenye goli la simba viungo wakabaji na mabeki kushindwa kufanya interception muhimu ya kuvuruga/kutibua mipango ya timu pinzani haraka na kwa makini kabla ya kufika kwenye eneo la hatari kwa simba hasa kwenye 18 au eneo nje kidogo ya hapo, hali hii inafanya viungo na washambuliaji wa timu pinzani kuwa na utulivu na kujipanga vyema kabla hawajafanya maamuzi ya kuiumiza simba.
TATU
Wakati wa kushambulia,simba inaposhambulia hasa kwenye counter attacks bado inakuwa na tatizo idadi ndogo ya wachezaji kwenye box la mpinzani kitu kinachotoa mwanya kwa mabeki wa timu pinzani kuji organize na kuharibu mipango kirahisi! Hiki kitu kinawagharimu sana simba na kuwafanya kuonekana sio aggressive sana kwenye kutafuta ushindi, ndiyo maana simba ikicheza na timu yenye uwezo wa kupanda na kushuka kwa namba kubwa simba kupata matokeo ni mtihani.
Alishasema kuwa anamtaka X-factor; hukumwelewa? Jamaa amekuwa ni kuomba wacheazji kila siku badala ya kuwafundisha. Mtu kama Ateba alikuwa mshambuliaji mkali akiwa kwenye timu yenye muundo mzuri, ila Fadlu anataka x-factor tu.Kwa dalili hizi, fadlu ajitafakari falsafa zake za mpira hazieleweki, anaweza asimalize Christmas.
Inawezekana anaficha,,,lakini ni jambo la hovyo kwasababu hata yeye haijui yanga,,,ina kocha mwingine na imeongeza wachezaji wengine.....nitamuelewa kama aliwaambia wachezaji wake wacheze kwa kurelax kwasababu kuna mechi mbili za muhimu mbele yao zinazokaribiana tarehe 16 na 20Match ya kirafiki tu mnamaliza maneno...
Vipi kama kocha ameamua kuficha mipango yake ili aje amshtukize opponent wake kwenye community shield?
Vipi kama amewaandaa wacheze kwa utulivu kuepusha majeraha yasiyo na ulazima?
Msimalize maneno
Kaamua kuficha Mipango really??? Ko hata azim dewji naye hajui kuhusu hii kitu ko plan ya kuficha mpango ilikua ni pamoja na kuiambia timu ipoteze mipira hovyo na hamza kupoteza mipira na kucheza pasi chonganishi na hatarishi kwenye 18 hii yote ilikua Mipango ya kochaMatch ya kirafiki tu mnamaliza maneno...
Vipi kama kocha ameamua kuficha mipango yake ili aje amshtukize opponent wake kwenye community shield?
Vipi kama amewaandaa wacheze kwa utulivu kuepusha majeraha yasiyo na ulazima?
Msimalize maneno