Kwa pisi hizi kali, naenda Rwanda kuishabikia Yanga

Kwa pisi hizi kali, naenda Rwanda kuishabikia Yanga

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
384
Reaction score
970
Nimejikuta tu nashawishika kwenda Rwanda kuishabikia Yanga itakapocheza na Al Merreikh katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kinachonivutia si mpira wa akina Maxi Nzengeli, hapana. Ni kwenda kuziona 'live' hizi pisi kali za PAUL KAGAME. Wangapi wanataka kuungana nami? Tujuane mapemaaa!

Rwa 7.jpg
Rwa 6.jpg
Rwa 4.jpg
RWA 3.jpg
Rwa 2.jpg
Rwa 1.jpg
 
Kuwa mkweli na uende kwenye hoja halisi.
-Unaenda kuishabikia Uto au
-Unaenda kuzubalia wanawake wa Kinyarwanda?
ANGALIZO:Tembea na macho mbinuko kama ya chura ili uwa-zoom vizuri.🤔
 
Kushangaa wadada kwanza, mpira ntaangalia hata marudio
Nilikuchokoza nikidhani mmeongezeka na kufikia watatu.Kumbe dah!Hivi,Haji naye ni Uto? Kwenye wale wawili hajaongeza idadi au amejiunga kwa wale wengi masalia?😂
 
Kuendekeza ngono Vijana wa bongo hamjambo. Kuweni makini Rwanda mtabaki rumande mkileta umalaya wa kishamba. Soko la wanawake Rwanda liko tofauti na bongo na sheria za hoteli zao ni tofauti pia tembea na pass book yako kila pahali ukienda. Police ya Rwanda sio ya Mulilo nawaonya tuu.
 
Kuendekeza ngono Vijana wa bongo hamjambo.Kuweni makini Rwanda mtabaki rumande mkileta umalaya wa kishamba.Soko la wanawake Rwanda liko tofauti na bongo na sheria za hoteli zao ni tofauti pia tembea na pass book yako kila pahari ukienda .Police ya Rwanda sio ya Mulilo nawaonya tuu.
Kwa hiyo nikipendwa tu na pisi kali nakamatwa?
 
Back
Top Bottom