Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 384
- 970
Tunaanzia kwenye 'cover' kwanzaYaliyomo yamo?!!!!
🤣🤣🤣🤣Tunaanzia kwenye 'cover' kwanza
Kushangaa wadada kwanza, mpira ntaangalia hata marudioKuwa mkweli na uende kwenye hoja halisi.
-Unaenda kuishabikia Uto au
-Unaenda kuzubalia wanawake wa Kinyarwanda?
ANGALIZO:Tembea na macho mbinuko kama ya chura ili uwa-zoom vizuri.🤔
Nilikuchokoza nikidhani mmeongezeka na kufikia watatu.Kumbe dah!Hivi,Haji naye ni Uto? Kwenye wale wawili hajaongeza idadi au amejiunga kwa wale wengi masalia?😂Kushangaa wadada kwanza, mpira ntaangalia hata marudio
Picha tu zinamtia wazimu hata nauli hana.Viongozi wa uzinzi utawajua Tu 🥴
Masihara hayo, hata laki na nusu ya Yanga kwenda na kurudi na nyingine mbili za kufanya vurugu nikose!Picha tu zinamtia wazimu hata nauli hana.
Kwa hiyo nikipendwa tu na pisi kali nakamatwa?Kuendekeza ngono Vijana wa bongo hamjambo.Kuweni makini Rwanda mtabaki rumande mkileta umalaya wa kishamba.Soko la wanawake Rwanda liko tofauti na bongo na sheria za hoteli zao ni tofauti pia tembea na pass book yako kila pahari ukienda .Police ya Rwanda sio ya Mulilo nawaonya tuu.
ujinga tu
Ya utu uzimaUna miaka mingapi ?
Kipya kinyemi, hizi za hapa kwetu zimezoeleka sana hadi hazivutiiKumaanisha mkuu hizi za nchini ni mbovu sana!!? 😳😳