Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,374
- 1,201
Natumai ni wazma wa afya ndugu zang, wakuu nilikua naomba msaada wenu wa kimawazo nina mdogo wang amemaliza form four mwaka jana na matokeo yao haya yaliotoka mwaka huu, sasa yeye amepata iv ya pints 35 akiwa na D-3, E-1, C-1, B-1, na F-1 sasa tunashindwa kuelewa kwa alama hizi mpya za upangaj huu wa matokeo ataweza kupata chuo kweli? hasa cha ualimu mana ndo tunapolenga kumpeleka!!, nawasilisha.