kwa points hizi chuo kinaendeka kweli wakuu?

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,374
Reaction score
1,201
Natumai ni wazma wa afya ndugu zang, wakuu nilikua naomba msaada wenu wa kimawazo nina mdogo wang amemaliza form four mwaka jana na matokeo yao haya yaliotoka mwaka huu, sasa yeye amepata iv ya pints 35 akiwa na D-3, E-1, C-1, B-1, na F-1 sasa tunashindwa kuelewa kwa alama hizi mpya za upangaj huu wa matokeo ataweza kupata chuo kweli? hasa cha ualimu mana ndo tunapolenga kumpeleka!!, nawasilisha.
 
chalk zinaumiza kifua mpelekeni kwenye uhandishi japo aanzie veta mpaka DIT..au wizara ya afya sawa jamani..nawasilisha so sihitaji kukosolewa
 
Sasa mkuu kwa alama hizo qualifications znaruhusu vyuo vya afya?,
 
Natumai ni wazma wa afya ndugu zang, wakuu nilikua naomba msaada wenu wa kimawazo nina mdogo wang amemaliza form four mwaka jana na matokeo yao haya yaliotoka mwaka huu, sasa yeye amepata iv ya pints 35 akiwa na D-3, E-1, C-1, B-1, na F-1 sasa tunashindwa kuelewa kwa alama hizi mpya za upangaj huu wa matokeo ataweza kupata chuo kweli? hasa cha ualimu mana ndo tunapolenga kumpeleka!!, nawasilisha.

weka alama zake kwenye kila somo....
 
Anakwenda Chuo Huyo, njia Panaaa! Ila Kwa Vyuo vya Afya,kilimo na Mifugo inabidi ktk ufaulu wake awe na Alama D ktk masomo ya sayansi chemistry,biology na phisics.
 
Mku weka subira moe watakuja kutoa mwongozo kwa sasa mtandangayana tu.
 
Kama chuo cha ualimu ni bora ukasubiri mpaka tangazo la wizara ambalo litafafanua namna na sifa za mwombaji.
 
Nashukuru kwa hiyo taarifa mkuu, sasa hiyo taarifa wanatoa lini mana ngojangoja nayo inaumiza matumbo mana muda wa kutuma maombi si ndio sasa?
 
Back
Top Bottom