SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
🤣🤣🤣Aaaah kmk...so we starehe yako ni tungi na ngono ila wanawake urembo tu...ndo maana hawafanyi mapenzi na kunywa pombe bac...🤣hizi dini zitawafanya vichaaUmeisha ambiwa wanawake watakuwa na urembo zaidi ya mrembo yeyote unaemjua hapa duniani!.Mwanamke starehe yake ni urembo,yaani ndiyo kitu anachopenda.
Sasa unataka wapewe nini kingine ili wewe uone kuwa wamepewa kipendwa chao?.