SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
🤣🤣🤣Aaaah kmk...so we starehe yako ni tungi na ngono ila wanawake urembo tu...ndo maana hawafanyi mapenzi na kunywa pombe bac...🤣hizi dini zitawafanya vichaaUmeisha ambiwa wanawake watakuwa na urembo zaidi ya mrembo yeyote unaemjua hapa duniani!.Mwanamke starehe yake ni urembo,yaani ndiyo kitu anachopenda.
Sasa unataka wapewe nini kingine ili wewe uone kuwa wamepewa kipendwa chao?.
Mkuu tendo la ndoa kwa Mungu ni uchafu haijalishi linafanywa na akina nani hivyo haliwezi kuwepo huko mbinguni mahali pake patakatifu, liliwekwa tu hapa duniani kwa ajili ya starehe na kuzaliana na ndio maana hata wanyama na viumbe vingine nao wanalifanya, na pia ndio maana hata Yesu alizaliwa bila baba tena kwa mwanamke Bikira hilo tu lilitosha kuonesha Mungu analichukuliaje tendo la ndoaWanawake 70 ni moja tu ya agadir kati ya ahadi nyingi...agadir hii ni katika sector ya mapenzi tu bado kuna ahadi na prize nyingi sana ambazo mwanamke nae atapata hapa kwenye Base ya mapenzi sina eliminate sana Mungu mjuzi anajua zaidi.
Watu wanaopenda uchochezi wa kidini wanapenda sana kutumia hii sehemu ya mabikra 70 kuleta uchochezi kujenga picha kama kitu kibaya bila mantiki yoyote...Swali ni je mapenzi ni kitu kibaya??
Mkuu tumuombe mungu kadri tunavyojua sisi,akili za kuambiwa changanya na zako🤣🤣🤣Ahadi za kutungwa au sio
Mkuu tumuombe mungu kadri tunavyojua sisi,akili za kuambiwa changanya na zako🤣🤣🤣Ahadi za kutungwa au sio
Tuliachana na mambo ya peponi tukajikita na haya ya hapa Duiniani.Astakhafirullah,
Mkazagamuana huku mnasikiliza Kaswida?
Oh kwenye vitu watapewa wanawake naona wengi hamna elimu kabisa, mmeelimika tu hapo kwenye kupewa mabikra 70 na pombe. Nilitamani kujua kwa upana.
Ndiyo nini!?.. waislam wangapi wanazini, Qur'an imeruhusu zinaa!?..papa karuhusu ushoga kubarikiwa Kama ndoa,biblia imeruhusu ushoga!?..uwe unatafakari kablaWorld looks other way as Christians: ‘killed for sport’ by jihadists in Nigeria | Fox News
Rights group estimates 50,000 Christians in West African nation have been killed since 2009www.foxnews.com
Zaidi ya urembo usio na mfano wa hapa duniani,wewe ulitaka wapewe nini?.Mwanamke apewe nini. Hapo ndiyo dini ni story za kale. Yaani waliandika wakati huo wa zamani mwanamke alikuwa hathaminiki kabisa katika jamii. Yaani haki za mwanamke zilikuwa hakuna
Bao la peponi linachukua muda gani mkuu au hamna kukojoa hukoIli kitu kiwe na maana lazima kiwe na ukomo.
Unahangaika tu na mabrika milele? Utachoka haraka sana, labda;
Allah atoe utashi wako, uwe kama robot, unachojua ni kuzagamuana tu.
Eleweni muktadha wakuu, 'milele' haina mwisho.
Aya mbona ipo wazi,nilijua utaleta hiyo,watu waliuliza ikiwa anawaona peponi au motoni,Aya inamalizia yeye muonyaji,afanyae wema atakua peponi,muovu motoni,Aya zingine zinasema kila nafsi inajijua Kama Ina wema au ubayaSurah Al-Ahqaf Ayat 9 (46:9 Quran)
"I am not the first of the Messengers; and I do not know what shall be done with me or with you. I follow only what is revealed to me, and I am nothing but a plain wwarn
Quran 4:29Lies.
Nadhani wameandaliwa mabaunsa manjemba majitu ya miraba minne ya kuwapeleka moto Mbususu zao hadi zitoe cheche....🔥Wanawake swafi wacha Mungu wao wamechaguliwa nini huko peponi?
Watapata wanaume manjemba wenye mikuyenge inch 20 ya kuwapeleka moto Mbususu zao hadi zitoe cheche 🔥🔥Na wanawake watapata raha gani huko peponi? Nataka kujifunza.
Mkuu kwa hili andiko lako ina maana binadamu atakula bata peponi kwa kipindi cha mwaka mmoja tuu, kisha atarudi duniani?Then baada ya hilo pumziko la millennium binadamu tunarudi duniani kuishi kama ilivopangwa tokea mwanzo na mungu alipomuumba binadamu(Adam) duniani na sio mbinguni. Kiufupi kila kitu kinarudi kama awali before Adam and Eve sinned.
‘But do not forget this one thing, dear friends: With the Lord a day is like a thousand years, and a thousand years are like a day. The Lord is not slow in keeping his promise, as some understand slowness. He is patient with you, not wanting anyone to perish, but everyone to come to repentance
Hivi tukifika mbinguni tunafufuka na mikasa yetu magonjwa uzee ajali unafufuka hoihoi maisha yanaendelea hivyo?Utapeli wa kidini. Yaani wewe na akili Yako timamu unajua mtu akifa anafufuka. Siyo kweli kabisa. Halafu kusema watapewa mabikra 70 ni mawazo ya kimalaya na wakati dini inapinga uzinzi. Je wenye ukimwi na magonjwa mengine ya kuambikiza itakuwaje. Tuwe na critical thinking na siyo kufuata mkumbo tu
Yaani unakufa na kuacha wake zako wanne duniani kisha unaenda kuzawadiwa mabikira 72 wa kunyandua huko peponi, je huo sio uzinzi, na kwa nini utelekeze wake zako waliokuzalia watoto wazuri duniani kisha ukarukie hivyo vi demu 72?
na kwa nini utelekeze wake zako waliokuzalia watoto wazuri duniani kisha ukarukie hivyo vi demu 72?
Na hao wake zenu watapata nini wakifika huko peponi?Sisi maustadhi acha tuendelee kupiga jaramba hapa duniani tukijiandaa kwenda kuchakata mbususu za warembo huko Peponi tukiwa hatuna stress tena.
Sasa huko kusifu na kuabudu sindiyo mnafanya hayo hayo hapa duniani,huko nako mtaenda kufanyaNi peponi. Mbinguni kwa Mungu baba hakuna ngono, ni kusifu na kuabudu