The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kwako Maendeleo ya maana ni nini kwanza tuanze hapo.Hakuna maendeleo yoyote ya maana yangekuwepo hakuna ambae angepinga
Samia anasikiliza sana kuliko Rais yeyote ila ujinga hawezi fanyia kazi.Upo sahihi na hupo sahihi pia. Kiongozi unatakiwa kusikiliza lakini huwezi kulifanyia kazi kila unalolisikia. Kiongozi hutakiwi kuw kiziwi, kipofu wala bubu. Unatakiw kusikiliza, kutazama, kuchunguza, kufanya maamuzi, na kutoa kauli kwa nini umefanya maamuzi ya aina fulani na siyo vinginevyo.
Hizi ni kazi zake za kawaida kabisa anazopaswa kufanya bila kupigiwa makofi wabongo sijui mkoje mtu anatakiwa afanye kazi zake na bado hafanyi inavyopaswa eti mnasifia na kujifanya ni matokeo REALLY?????Kwako Maendeleo ya maana ni nini kwanza tuanze hapo.
Pili kwako hiki sio maendeleo ni nini labda? ππ
View: https://twitter.com/shambamedia/status/1800220598704152996?t=ruGAfNm3f8ptpmXCueqWxg&s=19
Pili kuanza kuwapa mikopo wanafunzi wa Diploma.sio maendeleo ni nini? Kupunguza Ada Kwa wanafunzi sio maendeleo ni nini? ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C8B5_RUB7Wc/?igsh=cjcwMzU3c3R0Z3lu
Samia ni kiboko yenu anawajibu Kwa matokeo sio porojo.
Nasisitiza leta majibu ya what's maendeleo unayotaka.
Kama unajua ni kazi zake ndio maana amekwambia ataendelea kufanya kazi hizo bila kujalisha wapuuzi mbachoongea.Hizi ni kazi zake za kawaida kabisq anqzopaswq kufanya bila kupigiwa makofi wabongo sijui mkoje mtu anatakiwa afanye kazi zake na bado hafanyi inavyopaswa eti mnasifia na kujifanya ni matokeo REALLY?????
AIBU NAONA MIMI
Ududu chawa umewazidi jamani
Hakuna maendeleo yoyote na wala hupaswi kujua maana ya maendeleo kutoka kwangu kwa sababu hayapo yangekuwepo ningekwambia na kukuonyeshaKama unajua ni kazi zake ndio maana amekwambia ataendelea kufanya kazi hizo bila kujalisha wapuuzi mbachoongea.
Pili hujajibu swali, maendeleo kwako ni nini? Umeanza kuruka ruka ππ
Mwisho ulitaka akitekeleza wajibu wake atukanwe asisifiwe au? Wewe ni punguani au?
wewe umeshindwa kujibu baada ya kuona unaongea upuuzi.Hakuna maendeleo yoyote na wala hupaswi kujua maana ya maendeleo kutoka kwangu kwa sababu hayapo yangekuwepo ningekwambia na kukuonyesha
Halafu uache ufala mtu anaetimiza wajibu wake makofi ya nini?ndio maana hamuendelei mmejaa umbumbumbu
Mkifunguliwa hata kizahanati kisichokuwa na vifaa mnapiga mapambio
Acheni ujinga
Rais anachaguliwa na wananchi na anawajibika kwa wananchi wote. Eti familia yake. Punguza unafiki.kweli Urais ni ajira na ajira ni kwa maslahi ya Rais na familia yake siyo maslahi yako na famila yako tafuta ajira na wewe yenye maslahi kwako na familia yako,acha uninga jingeze
middle fMamilioni ya watanzania wanamuunga mkono Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi.hawataki kuona Rais wetu akijibu uzushi ,utoto utoto na uongo wa kupikwa unaokuwa ukitolewa na wanasiasa uchwara waliofirisika na kuishiwa hoja. Wapinzani janja yenu mlitaka muwe mnazusha vitu vya uongo ili muwe mnajibiwa kuwaweka midomoni.
Sasa Rais hana muda huo mchafu wa kujibu uzushi na uongo .yupo Bize kuwatumikia watanzania na kuwaletea maendeleo,kazi ambayo ndio tuliyomkabidhi na kumpatia.hatumlipi mshahara kukaa ikulu kwa ajili ya kujibu uzushi wa wanasiasa uchwara wa CHADEMA
Yeye na team yake wote maziro ndio maana hata wanateua marehemu kushika nafasi!.Rais anafanya kazi na team ya washauri.
Urais ni taasisi katika ukamilifu wake.
Ila jamaa unajitahidi sana..kama hulipwi kitu basi unamoyo sana ..utafika mbali sanaMamilioni ya watanzania wanamuunga mkono Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi.hawataki kuona Rais wetu akijibu uzushi ,utoto utoto na uongo wa kupikwa unaokuwa ukitolewa na wanasiasa uchwara waliofirisika na kuishiwa hoja. Wapinzani janja yenu mlitaka muwe mnazusha vitu vya uongo ili muwe mnajibiwa kuwaweka midomoni.
Sasa Rais hana muda huo mchafu wa kujibu uzushi na uongo .yupo Bize kuwatumikia watanzania na kuwaletea maendeleo,kazi ambayo ndio tuliyomkabidhi na kumpatia.hatumlipi mshahara kukaa ikulu kwa ajili ya kujibu uzushi wa wanasiasa uchwara wa CHADEMA