Pre GE2025 Kwa Rais Samia kujifanya "Chura kiziwi" ni dharau kwa watanzania. Kwani yupo Ikulu kwa maslahi ya akina nani?

Pre GE2025 Kwa Rais Samia kujifanya "Chura kiziwi" ni dharau kwa watanzania. Kwani yupo Ikulu kwa maslahi ya akina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna maendeleo yoyote ya maana yangekuwepo hakuna ambae angepinga
Kwako Maendeleo ya maana ni nini kwanza tuanze hapo.

Pili kwako hiki sio maendeleo ni nini labda? 👇👇

View: https://twitter.com/shambamedia/status/1800220598704152996?t=ruGAfNm3f8ptpmXCueqWxg&s=19

Pili kuanza kuwapa mikopo wanafunzi wa Diploma.sio maendeleo ni nini? Kupunguza Ada Kwa wanafunzi sio maendeleo ni nini? 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C8B5_RUB7Wc/?igsh=cjcwMzU3c3R0Z3lu

Samia ni kiboko yenu anawajibu Kwa matokeo sio porojo.

Nasisitiza leta majibu ya what's maendeleo unayotaka.
 
Upo sahihi na hupo sahihi pia. Kiongozi unatakiwa kusikiliza lakini huwezi kulifanyia kazi kila unalolisikia. Kiongozi hutakiwi kuw kiziwi, kipofu wala bubu. Unatakiw kusikiliza, kutazama, kuchunguza, kufanya maamuzi, na kutoa kauli kwa nini umefanya maamuzi ya aina fulani na siyo vinginevyo.
Samia anasikiliza sana kuliko Rais yeyote ila ujinga hawezi fanyia kazi.

Ndio maana amewatea uvivu NSSF na kikokotoo,so subirieni mambo mazuri 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C8HDA2XKFpk/?igsh=bWNjMzJlazJlbXd4
 
Kwako Maendeleo ya maana ni nini kwanza tuanze hapo.

Pili kwako hiki sio maendeleo ni nini labda? 👇👇

View: https://twitter.com/shambamedia/status/1800220598704152996?t=ruGAfNm3f8ptpmXCueqWxg&s=19

Pili kuanza kuwapa mikopo wanafunzi wa Diploma.sio maendeleo ni nini? Kupunguza Ada Kwa wanafunzi sio maendeleo ni nini? 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C8B5_RUB7Wc/?igsh=cjcwMzU3c3R0Z3lu

Samia ni kiboko yenu anawajibu Kwa matokeo sio porojo.

Nasisitiza leta majibu ya what's maendeleo unayotaka.

Hizi ni kazi zake za kawaida kabisa anazopaswa kufanya bila kupigiwa makofi wabongo sijui mkoje mtu anatakiwa afanye kazi zake na bado hafanyi inavyopaswa eti mnasifia na kujifanya ni matokeo REALLY?????

AIBU NAONA MIMI

Ududu chawa umewazidi jamani
 
Hizi ni kazi zake za kawaida kabisq anqzopaswq kufanya bila kupigiwa makofi wabongo sijui mkoje mtu anatakiwa afanye kazi zake na bado hafanyi inavyopaswa eti mnasifia na kujifanya ni matokeo REALLY?????

AIBU NAONA MIMI

Ududu chawa umewazidi jamani
Kama unajua ni kazi zake ndio maana amekwambia ataendelea kufanya kazi hizo bila kujalisha wapuuzi mbachoongea.

Pili hujajibu swali, maendeleo kwako ni nini? Umeanza kuruka ruka 😁😁

Mwisho ulitaka akitekeleza wajibu wake atukanwe asisifiwe au? Wewe ni punguani au?
 
Hakuna maendeleo yoyote na wala hupaswi kujua maana ya maendeleo kutoka kwangu kwa sababu hayapo yangekuwepo ningekwambia na kukuonyesha

Halafu uache ufala mtu anaetimiza wajibu wake makofi ya nini?ndio maana hamuendelei mmejaa umbumbumbu

Mkifunguliwa hata kizahanati kisichokuwa na vifaa mnapiga mapambio...chawa bwana

Acheni ujinga
 
Hakuna maendeleo yoyote na wala hupaswi kujua maana ya maendeleo kutoka kwangu kwa sababu hayapo yangekuwepo ningekwambia na kukuonyesha

Halafu uache ufala mtu anaetimiza wajibu wake makofi ya nini?ndio maana hamuendelei mmejaa umbumbumbu

Mkifunguliwa hata kizahanati kisichokuwa na vifaa mnapiga mapambio

Acheni ujinga
wewe umeshindwa kujibu baada ya kuona unaongea upuuzi.

Na Bado mtapuuzwa sana nyumbu nyie 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C8HCKZetxZW/?igsh=aTUxbWZ3NGZ5amxw
 
Rais mwenye Maadili, aliyepikwa vyema Kiuongozi na ana Washauri wazuri kamwe hawezi Kutapika Pumba hivi.

Kasomeni Kichwa cha Habari Ongoza cha Gazeti la Nipashe la Leo.
 
Kama Rais Samia hasikii cha kujiuliza maelezo ya kuanza kushindana kapataje. Je Rais Samia anasoma tu maelekeza na anapewa na nani? Kwanini Rais Samia hataki katiba kama kweli anafanya vitu vya manufaa ya umma. Kawanini haweki wazi mkataba wa bandari na KIA kama hana la kuficha. Rais Samia analeta pikipiki 700 je ni Oman au UAE wamemnunulia.

Rais Samia bila kuweza kusikia na kutokujua wamwelekezao tutafika au tunajua tuendako?
 
Kiburi cha madaraka mtamfanya nini ?
Hakika aliye itoa sadaka ardhi ya Tanganyika alikuwa mtu wa ajabu sana.
 
Kwenye physics hii tuliita ni Doppler effect..
3CB9F249-E459-4A85-911B-7C4C93F8F1D6.jpeg
 
Yani mnataka Samia azingatie Kila kitu anachosikia na kuona mitandaoni.?? Aanze ku deal na personal attacks badala ya kuziba masikio na kusongesha gurudumu la nchi..? ...
 
kweli Urais ni ajira na ajira ni kwa maslahi ya Rais na familia yake siyo maslahi yako na famila yako tafuta ajira na wewe yenye maslahi kwako na familia yako,acha uninga jingeze
Rais anachaguliwa na wananchi na anawajibika kwa wananchi wote. Eti familia yake. Punguza unafiki.
 
Mamilioni ya watanzania wanamuunga mkono Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi.hawataki kuona Rais wetu akijibu uzushi ,utoto utoto na uongo wa kupikwa unaokuwa ukitolewa na wanasiasa uchwara waliofirisika na kuishiwa hoja. Wapinzani janja yenu mlitaka muwe mnazusha vitu vya uongo ili muwe mnajibiwa kuwaweka midomoni.

Sasa Rais hana muda huo mchafu wa kujibu uzushi na uongo .yupo Bize kuwatumikia watanzania na kuwaletea maendeleo,kazi ambayo ndio tuliyomkabidhi na kumpatia.hatumlipi mshahara kukaa ikulu kwa ajili ya kujibu uzushi wa wanasiasa uchwara wa CHADEMA
middle f
 
Ila jamaa unajitahidi sana..kama hulipwi kitu basi unamoyo sana ..utafika mbali sana
 
Back
Top Bottom