The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kwako Maendeleo ya maana ni nini kwanza tuanze hapo.Hakuna maendeleo yoyote ya maana yangekuwepo hakuna ambae angepinga
Pili kwako hiki sio maendeleo ni nini labda? 👇👇
View: https://twitter.com/shambamedia/status/1800220598704152996?t=ruGAfNm3f8ptpmXCueqWxg&s=19
Pili kuanza kuwapa mikopo wanafunzi wa Diploma.sio maendeleo ni nini? Kupunguza Ada Kwa wanafunzi sio maendeleo ni nini? 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C8B5_RUB7Wc/?igsh=cjcwMzU3c3R0Z3lu
Samia ni kiboko yenu anawajibu Kwa matokeo sio porojo.
Nasisitiza leta majibu ya what's maendeleo unayotaka.