1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
2025 wapinzani wafanye kazi kubwa sana.
Waarabu wamemwaga pesa n.yingi sana awamu hii .
Awamu iliyopita ilikua ni ubabe mbele awamu hii ni pesa mbele.
Waarabu walitumia pesa kumngoa Lowasa asije akaingia Ikulu kwa hofu ya Loliondo kurudi mikononi mwa Watanganyika na pia kwa kitendo chake cha kupambana mpaka Watanganyika wakaanza kufaidi maji ya Ziwa Victoria Sambamba na waarabu wa Misri.
Akatushiwa kila aina ya Kashfa lakini Watanganyika wakaonyesha kumuunga mkono .
Mwisho ikawa ni kuvuruga uchafuzi kudhibiti mfumo wa kujumlisha matokeo.
Zanzibar Jecha akafuta matokeo kinyume cha katiba .
Watanzania wakaziba makawa wavumilivu.
Sasa watawala wanasahau kuwa nchi sio mali yao binafsi .
Wapinzani waanze na Serikali za mitaa. Hapo iwe ni mguu kwa mguu mkono kwa mkono , moyo kwa moyo ,jicho kwa jicho,jino kwa jino ,moto kwa moto, mlango kwa mlango ,kaburi kwa kaburi, damu kwa damu mpaka matokeo yawe halali. Hii mambo ya aliyeshinda kihalali analia na aliyeshindwa kihalali anacheka na kupigiwa makofi na heshima huku mshindi halali akiwa anadhalilishwa inabidi yafikie mwisho .
Watawala wakipatikana kihalali nchi inapata furaha na amani ya kweli na kila mtu anawajibika kwa nafasi yake .