Pre GE2025 Kwa Rais Samia kujifanya "Chura kiziwi" ni dharau kwa watanzania. Kwani yupo Ikulu kwa maslahi ya akina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
2025 wapinzani wafanye kazi kubwa sana.

Waarabu wamemwaga pesa n.yingi sana awamu hii .

Awamu iliyopita ilikua ni ubabe mbele awamu hii ni pesa mbele.

Waarabu walitumia pesa kumngoa Lowasa asije akaingia Ikulu kwa hofu ya Loliondo kurudi mikononi mwa Watanganyika na pia kwa kitendo chake cha kupambana mpaka Watanganyika wakaanza kufaidi maji ya Ziwa Victoria Sambamba na waarabu wa Misri.
Akatushiwa kila aina ya Kashfa lakini Watanganyika wakaonyesha kumuunga mkono .

Mwisho ikawa ni kuvuruga uchafuzi kudhibiti mfumo wa kujumlisha matokeo.

Zanzibar Jecha akafuta matokeo kinyume cha katiba .
Watanzania wakaziba makawa wavumilivu.

Sasa watawala wanasahau kuwa nchi sio mali yao binafsi .

Wapinzani waanze na Serikali za mitaa. Hapo iwe ni mguu kwa mguu mkono kwa mkono , moyo kwa moyo ,jicho kwa jicho,jino kwa jino ,moto kwa moto, mlango kwa mlango ,kaburi kwa kaburi, damu kwa damu mpaka matokeo yawe halali. Hii mambo ya aliyeshinda kihalali analia na aliyeshindwa kihalali anacheka na kupigiwa makofi na heshima huku mshindi halali akiwa anadhalilishwa inabidi yafikie mwisho .

Watawala wakipatikana kihalali nchi inapata furaha na amani ya kweli na kila mtu anawajibika kwa nafasi yake .
 
Wakati mwingine kukaa kimya ni Hekima!
Hekima ni kuchagua maneno ya kusema kwa nani na kwa wakati gani!
Wakati ukifika huenda atasema.
 
Mkuu yote uliyo sema ni mazuri and nobody is denying that. Wananchi wanacho sema ni kuwa hali ya uchumi wao ni mbaya mno mtaani na mfukoni!

Wanasema hawaoni unafuu wowote kiuchumi Mkuu, Hawaoni tofauti ya ugumu wa maisha licha ya mazuri hayo uliyo ya taja.
Nipo toka utawala wa Nyerere sasa hivi ni mstaafu. Sijawahi kuona hata siku moja watu wakisema maisha ni mepesi.

Kila siku watu husema bora ya jana kuliko ya leo.

Huyu Samia mnayembeza mtakuja kumkumbuka sana. Mark this post
 
Gawio waliotoa ni danganya toto. Mashirika mengine yako hoi bin tabaani ili kumfurahisha mkubwa wengine wamekopa kutoka kwenye mabenki waonekane wametoa gawio. Fanyeni utafiti mtanieleza.
 
2025 wapinzani wafanye kazi kubwa sana.

Waarabu wamemwaga pesa n.yingi sana awamu hii .

Awamu iliyopita ilikua ni ubabe mbele awamu hii ni pesa mbele.

Waarabu walitumia pesa kumngoa Lowasa asije akaingia Ikulu kwa hofu ya Loliondo kurudi mikononi mwa Watanganyika na pia kwa kitendo chake cha kupambana mpaka Watanganyika wakaanza kufaidi maji ya Ziwa Victoria Sambamba na waarabu wa Misri.
Akatushiwa kila aina ya Kashfa lakini Watanganyika wakaonyesha kumuunga mkono .

Mwisho ikawa ni kuvuruga uchafuzi kudhibiti mfumo wa kujumlisha matokeo.

Zanzibar Jecha akafuta matokeo kinyume cha katiba .
Watanzania wakaziba makawa wavumilivu.

Sasa watawala wanasahau kuwa nchi sio mali yao binafsi .

Wapinzani waanze na Serikali za mitaa. Hapo iwe ni mguu kwa mguu mkono kwa mkono , moyo kwa moyo ,jicho kwa jicho,jino kwa jino ,moto kwa moto, mlango kwa mlango ,kaburi kwa kaburi, damu kwa damu mpaka matokeo yawe halali. Hii mambo ya aliyeshinda kihalali analia na aliyeshindwa kihalali anacheka na kupigiwa makofi na heshima huku mshindi halali akiwa anadhalilishwa inabidi yafikie mwisho .

Watawala wakipatikana kihalali nchi inapata furaha na amani ya kweli na kila mtu anawajibika kwa nafasi yake .
Tunasafari ndefu kupata mabadiliko mbeleni kuna makaburi yatafukuliwa na wahusika kucharazwa bakora.
 
Gawio waliotoa ni danganya toto. Mashirika mengine yako hoi bin tabaani ili kumfurahisha mkubwa wengine wamekopa kutoka kwenye mabenki waonekane wametoa gawio. Fanyeni utafiti mtanieleza.
Tuendelee kuishi umo tukingoja ngoja kurudi masia hatutaumia matumbo.

Kuna viongozi washatuona wapumbavu lakini hipo siku yatafika mwisho tumechezewa sana in Magufuli voice.
 
Kauli ya ajabu kabisa hiyo ye alitegemea asinine na wote yani wote tuwe chawa wa kuimba mapambio

Lakini kauli kama hiyo kutoka kwenye kimya cha mswahili wala sio ajabu
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Watu wanaomtukana hawafanyi hivyo kukosoa bali mitusi ya nguoni. Mfano mange anasema semia anasagana. Sasa unataka ajibu upuuzi wa mange na upuuzi wa lisu. Keep calm mama ni jibu la wapumbavu akina lisu
Na hata wanaojifanya kukosa wanaongea upumbavu na upotoshaji Kwa kusema kauza Mali zao Watanganyika wakati wakijua hakuna Tanganyika Wala hakuna kilichouzwa.

Wajinga na wapuuzi wa hivyo unawakaushia na mambo yanaenda kama kawaida
 
Kauli ya ajabu kabisa hiyo ye alitegemea asinine na wote yani wote tuwe chawa wa kuimba mapambio

Lakini kauli kama hiyo kutoka kwenye kimya cha mswahili wala sio ajabu
Mtajiju Sasa,yeye anachapa kazi.Tanzania mpo Wapinzani wapumbavu ambao mnapinga maendeleo sijui ndio Upinzani wa wapi huo
 
Mkuu yote uliyo sema ni mazuri and nobody is denying that. Wananchi wanacho sema ni kuwa hali ya uchumi wao ni mbaya mno mtaani na mfukoni!

Wanasema hawaoni unafuu wowote kiuchumi Mkuu, Hawaoni tofauti ya ugumu wa maisha licha ya mazuri hayo uliyo ya taja.
Wangekuwa hawaoni huo unafuu biashara zingedorora na Hawa wakulima hapa wasinhepata haya mabilioni.

Ndio maana nyie nyumbu mnadharauliwa Kwa sababu ni wajinga,wapinga maendeleo na wapotoshaji 👇👇

View: https://twitter.com/GMwangonda/status/1800755022000476241?t=nnFuqZnPUn0KVfqYEib4vQ&s=19

View: https://twitter.com/shambamedia/status/1800744763324596310?t=53lLq_shOLpHPBHRhAjh6g&s=19

Au niongezee spana?
 
Ofcoz anajibu hivyo kwasababu anajua hamuwezi mfanya chochote. Anaweza akafanya chochote na hamuwezi kumfanya chochote. Watanzania mpo mpo tu kama mazombie hamjitambui
 
Mbona walikuwa wanaandamana wameishiwa wapi? 😁😁😁

Ni wazi Wananchi wamewapuuza.Kwamba utamwambia huyu mkulima hapa Samia hajaimarisha soko la mazao? 👇👇

View: https://twitter.com/shambamedia/status/1800563090372825573?t=YTFEKs_BomyQ9HTe0cFslA&s=19

View: https://twitter.com/shambamedia/status/1800573015471870276?t=4U1Dul1rM4IBVCTGdG_maQ&s=19
 
Back
Top Bottom