macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Huwezi kumuelesha mtu kama hujui namna ya kumuelewesha. Kutojua kwako kuandika maneno rahisi ya kiswahili kunaathiri uwezo wako wa kumfundisha mtu.Hapa tunaeleweshana vigezo vinavyotumika kugawa mkoa na si kushindana kwa kutukanana kama unavyofanya. Kama huwezi kushindana kwa hoja basi kaa kimya.