steph felix
Member
- Jul 26, 2015
- 33
- 21
Habari wanajamii, kwa wale watalaamu wa architecture design na wazoefu wote wa nyumba, nilikuwa naomba ushauri wenu juu ya ramani hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mawazo yangu hiyo master bedroom sio poa kushare ukuta na hiyo bedroom nyingine. Ukiwa unageggedua no privacy.Habari wanajamii, kwa wale watalaamu wa architecture design na wazoefu wote wa nyumba, nilikuwa naomba ushauri wenu juu ya ramani hii.View attachment 2272067
Ni Bora kuweka public toilet jirani na Master bedroom halafu vyumba vingine vifate?Kwa mawazo yangu hiyo master bedroom sio poa kushare ukuta na hiyo bedroom nyingine. Ukiwa unageggedua no privacy.
option nayofikiria hapo ni kwamba wc ya master ndio iwe public toilet, master bedroom iwe chumba cha kawaida. hii public wc ndio iwe wc ya master na master bedroom iwe kwenye hiki chumba cha mwishoNi Bora kuweka public toilet jirani na Master bedroom halafu vyumba vingine vifate?
Nimeipenda hii idea. Nitaedit ikae hivyooption nayofikiria hapo ni kwamba wc ya master ndio iwe public toilet, master bedroom iwe chumba cha kawaida. hii public wc ndio iwe wc ya master na master bedroom iwe kwenye hiki chumba cha mwisho
Mimi sio mtaalamu wala nini ila nilichoona kwa harakaharaka;Habari wanajamii, kwa wale watalaamu wa architecture design na wazoefu wote wa nyumba, nilikuwa naomba ushauri wenu juu ya ramani hii.View attachment 2272067
Mawazo mazuri sana, ila tunaweza amisha hiyo public toilet ikawa ile ya master bedroom, halafu mpangilio wa vyumba ukabadilishwa.[emoji1303]Mimi sio mtaalamu wala nini ila nilichoona kwa harakaharaka;
1. Sioni public toilet. Kama ni hii huku kushoto katikati ya 2 bedrooms, mi naona itakua ipo mbali sana mtu akibanwa tumbo la kuharisha akiwa dinning mpaka aje afike ameshaachia. Pia nadhani sio vizuri mgeni azunguke nyumba nzima akipita mbele ya kila chumba mpaka afike chooni.
2. Hiyo uliyoita "prayer room" haina dirisha. Mtu akijifungia humo na hili joto sidhani kama ataweza kusali dakika 2. Bora hiyo pray room ungeifanya ndio public toilet uweke kadirisha kale kadogo.
3. Kwa ukubwa wa hiyo nyumba, ka store umekaminya balaa. Kumbuka kibongo bongo hapo store ndio utahifadhi kila kitu kuanzia ma drum ya mahindi, jiko la mkaa, madumu ya maji, baiskeli, kochi lililovunjika, matairi ya gari, ndoo za rangi zilizobaki, cementi nk.
4. Nyumba haina veranda
5.
Hapa vipi?option nayofikiria hapo ni kwamba wc ya master ndio iwe public toilet, master bedroom iwe chumba cha kawaida. hii public wc ndio iwe wc ya master na master bedroom iwe kwenye hiki chumba cha mwisho
Hapo sasa mwake mwanawane. Hivi ndio nilivyo maanisha.👍 Hapa mzeya unagegeda utakavyo ukiwa na privacy yakoHapa vipi?View attachment 2274907
Ila niulize, kwa mgeni ambaye anakuja tuu atatumia choo kipi? Hichi cha guest room? Maana sio vizuri public toilet ha wana familia pia wageni watumieHapa vipi?View attachment 2274907
Hahahaha, kwamba privacy ndio kitu cha kwanzaHapo sasa mwake mwanawane. Hivi ndio nilivyo maanisha.[emoji106] Hapa mzeya unagegeda utakavyo ukiwa na privacy yako
Vyoo vitakua vingi ndani, itabidi cha wapitaji kiwepo nje tuIla niulize, kwa mgeni ambaye anakuja tuu atatumia choo kipi? Hichi cha guest room? Maana sio vizuri public toilet ha wana familia pia wageni watumie
Boss naomba final touch ya hii ramani niingaliee kwa ukariibu zaidi.Hapa vipi?View attachment 2274907
Ondoa prayer room sebule iwe kubwa na entrance iface veranda. Guest room itakuwa prayer room siku ambazo huna guests. Siku uko na guests kwa kuwa sebule ni kubwa itatumika for prayers.Hapa vipi?View attachment 2274907