Kwa ratiba hii, CHADEMA wako sahihi kutokushiriki

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Tuwekeni ushabiki kando, kinachotangazwa na kupigiwa upatu kama kikao Cha wadau wa siasa hakina Ajenda ya majadiliano hata Moja. Yaani mnafika, wanakaribishana Hadi saa Tano, Chief Hang'her anaongea kama mgeni rasmi. Saa sita wanapiga picha, "kikao" kimeisha picha zimepigwa. Imetoka hio.

Kwa wenye akili tu wanaweza kunijibu, hiki ni kikao Cha aina Gani? Cha kusalimiana? Kupiga picha na kuondoka?

Tuwenj serious, CHADEMA kwa hili wako sahihi kama wanavyokuaga sahihi siku zote

 
Zitto atajadiliana na Mtungi kuhusu hotuba ya mgeni rasmi baada ya kikao! Watajadiliana hayo baada ya kusign posho ya kushiriki kikao!! CDM na NCCR Mageuzi nao wataiona hotuba na kujadili hukohuko maofisini kwao! Sawa tu na CCM na ACT ila wao hawata sign posho!!
 
Hiyo ni kuja kupokea maelekezo si kujadiliana chochote. Yaani watu wanafanya wanachokitaka si kusikiliza mawazo ya upande wa pili. Only in Tanganyika

Bora basi kama kungekuwa na mazungumzo ngazi ya chini yameshafanyika.
 
Mkutano wa CCM na wadau wake, na sio vinginevyo
 
Aisee 🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…