Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Tuwekeni ushabiki kando, kinachotangazwa na kupigiwa upatu kama kikao Cha wadau wa siasa hakina Ajenda ya majadiliano hata Moja. Yaani mnafika, wanakaribishana Hadi saa Tano, Chief Hang'her anaongea kama mgeni rasmi. Saa sita wanapiga picha, "kikao" kimeisha picha zimepigwa. Imetoka hio.
Kwa wenye akili tu wanaweza kunijibu, hiki ni kikao Cha aina Gani? Cha kusalimiana? Kupiga picha na kuondoka?
Tuwenj serious, CHADEMA kwa hili wako sahihi kama wanavyokuaga sahihi siku zote
Kwa wenye akili tu wanaweza kunijibu, hiki ni kikao Cha aina Gani? Cha kusalimiana? Kupiga picha na kuondoka?
Tuwenj serious, CHADEMA kwa hili wako sahihi kama wanavyokuaga sahihi siku zote