Uchaguzi 2020 Kwa rhetoric kama hizi, uwezekano wa jina lake kutokuwepo kwenye ballot paper unazidi kuongezeka

Kamanda umejiandikisha kupiga kura?
 
Hivi nyie mnamuona Lisu yuko sawa kisaikolojia kweli?

Yule alipaswa baada ya yale yaliyomkuta akirudi akae nagalau mwaka ndio aanze siasa!

Yani kumbe hata Nayarandu bora kuliko huyu jamaa.
 
Hizo sababu kwako zinaonekana zina uzito lakini hukumbuki kwamba unaongelea majungu ambayo huna uhakika nayo. Huwezi ukafanya propaganda then watu wakuamini. Nyinyi furahieni kwamba Tanzania ni nchi ambayo ipo vizuri sana katika kufanya shughuli zake hivyo mpo salama na mnalala salama pamoja na familia zenu.
 
Lisu atapigws kwenye sanduku la kura October 28, mchana kweupe!
 
CCM ishachukya nchi unaumia na nini?
 
Hivi nyie mnamuona Lisu yuko sawa kisaikolojia kweli?

Yule alipaswa baada ya yale yaliyomkuta akirudi akae nagalau mwaka ndio aanze siasa!

Yani kumbe hata Nayarandu bora kuliko huyu jamaa.
Nyarandu
 
Achia kichekesho. Kwa hiyo unajenga uwanja wa ndege kwa ajili ya kutegemea ndege kutua wakati wa dharura? Investment ya mabilioni itumike mara moja kwa miaka 50? Akili matope?
Duh aisee kweli huwezibkuwa hatavkiongozi wa kata. Huwezi jenga mifereji ya mvua mpaka mafuriko yatokee..?? Ndio maana ya kuwa proactive. Usisubiri majanga ndio uchukue tahadhari.
 
Kwahiyo ingeweza kutua Chato badala yake. Yaani wewe kichwani kwako hata kamasi kama za mtoa mada hakuna.
Huwezi elewa sababu unafikiria mwisho wa vidole vyako vya miguu
 
Nenda kamuone daktari wa masikio bwana nyani.

Huyo mwananchi kasema "wewe sii ngosha" akimaanisha wewe sio mshamba.

By the way bwana nyani kama umeghafilika hivi hadi unaamini hiyo kauli inapaswa kuwa sababu ya kuliengua jina la Lissu kwenye uchaguzi.
 
Kwa hali aliyofikia Magufuli anatakiwa apingwe kwa maneno makali na ikiwezekana kwa maandamano yasiyokoma.

Magufuli anajua kujenga barabara na madaraja tu.
 
Alishamtukana mbona wakati anahojiwa na redio ya kenya wiki iliyopita..alisema kuanzia nyerere, mwinyi, mkapa na jk hawakujenga uwanja kwao sio hawa viongozi wa hivyo hovyo.
Kwahiyo kusema kajenga uwanja wa ndege chattle nikumtukana? Utopianianist
 
Kwa hali aliyofikia Magufuli anatakiwa apingwe kwa maneno makali na ikiwezekana kwa maandamano yasiyokoma.

Magufuli anajua kujenga barabara na madaraja tu.
Kwani Magufuli ni fundi ujenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…