The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
It doesn't matter. Series ya mambo aliyofanyiwa huyu bwana kuanzia kumiminiwa risasi, kukataliwa malipo ya matibabu, kuviliwa Ubunge... Sidhani kama mtu wa kawaida angeendelea kuongea kwa furaha na tabasamu kama Lissu. Give the credit where it's due.Unamjua aliyemfanyia?
Hana lolote,anaongea chuki tupu.Amejaa kebehi na dharau kwa rais.Arrogant.It doesn't matter. Series ya mambo aliyofanyiwa huyu bwana kuanzia kumiminiwa risasi, kukataliwa malipo ya matibabu, kuviliwa Ubunge... Sidhani kama mtu wa kawaida angeendelea kuongea kwa furaha na tabasamu kama Lissu. Give the credit where it's due.
Actually, Lissu ana roho nzuri na ya ajabu sana. Kitendo alichofanyiwa ni zaidi ya Mandela alivyofanya na Makaburu... Cha ajabu jamaa bado anaongea kwa furaha na tabasamu bila hasira za wazi. Nyani Wew mwenyewe matusi ya JF sometimes yanakupa shida... Imagine 16 bullets in your body. Lissu is the man...!!
Hata wewe nyani uko personal against Lissu...pengine unamwakilisha maguNi kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.
Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].
Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.
Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.
Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.
Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.
Negative!Hata wewe nyani uko personal against Lissu...pengine unamwakilisha magu
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.
Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].
Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.
Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.
Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.
Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.
Hahaaaa jirani shauri yako. Uko tayari kwa mashambulizi?
Wewe umewahi kupigwa risasi?Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.
Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].
Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.
Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.
Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.
Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.
Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].
Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.
Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.
Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.
Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.
Lisu ni mbwatukaji, hafai kuwa Raisi, kupata kura asahau kabisa! Chandimu wameingia cha kike ruzuku ikfika mil 20 wakatambikieNi kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.
Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].
Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.
Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.
Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.
Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.
Makamanda naona hamjanielewa.
Kwanza hakuna niliposema kuwa Lissu katukana.
Pili, nipo upande wa Lissu wa kutotaka jina lake lisienguliwe.
Tatu, nilichokielezea mimi ni wasiwasi wangu kwamba, kwa kauli anazozitoa, kauli hizo ndo za wenza kujenga msingi wa yeye jina lake kutokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, kwa kuwekewa figisu.
Nne, makamanda wengi mna uwezo mdogo sana wa kiakili ndo maana hamjaelewa nilichokiandika.
Kumbe wamechoma ofisi makusudi wakijua ni mbaya na ipo sehemu mbaya ili waombe michango ya kujenga ofisi nzuri. Ni washamba sana hawa.Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.
Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].
Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.
Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.
Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.
Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.
Siku hizi kuna watu hawamuabudu tena Mungu bali wao mungu wao ni rais, kufuru kubwa sana ni ibada ya sanamu hiyo na nashangaa hata wale wanaojiita viongozi wa dini pia tayari shetani keshawateka.Kumbe wamechoma ofisi makusudi wakijua ni mbaya na ipo sehemu mbaya ili waombe michango ya kujenga ofisi nzuri. Ni washamba sana hawa.
Na huyu jamaa humtukana Rais hata kimoyomoyo. Hana akili kabisa na domo lake.
Well said....lakin hatokatwaHakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.
Mkuu, hapo tusi lipo wapi??Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.
Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].
Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.
Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.
Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.
Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.
Well said. Sina cha kuongeza;Wewe jamaa unapenda sana kujiona unajua kila kitu pia kujiona upo juu, hiyo inaweza kuwa ni delusion disorder nakushauri ukapime afya ya akili