The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
It doesn't matter. Series ya mambo aliyofanyiwa huyu bwana kuanzia kumiminiwa risasi, kukataliwa malipo ya matibabu, kuviliwa Ubunge... Sidhani kama mtu wa kawaida angeendelea kuongea kwa furaha na tabasamu kama Lissu. Give the credit where it's due.Unamjua aliyemfanyia?