Uchaguzi 2020 Kwa rhetoric kama hizi, uwezekano wa jina lake kutokuwepo kwenye ballot paper unazidi kuongezeka

It doesn't matter. Series ya mambo aliyofanyiwa huyu bwana kuanzia kumiminiwa risasi, kukataliwa malipo ya matibabu, kuviliwa Ubunge... Sidhani kama mtu wa kawaida angeendelea kuongea kwa furaha na tabasamu kama Lissu. Give the credit where it's due.
Hana lolote,anaongea chuki tupu.Amejaa kebehi na dharau kwa rais.Arrogant.
 
Actually, Lissu ana roho nzuri na ya ajabu sana. Kitendo alichofanyiwa ni zaidi ya Mandela alivyofanya na Makaburu... Cha ajabu jamaa bado anaongea kwa furaha na tabasamu bila hasira za wazi. Nyani Wew mwenyewe matusi ya JF sometimes yanakupa shida... Imagine 16 bullets in your body. Lissu is the man...!!

----- 16 bullets, let alone those which passed through his body.
 
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.

Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].

Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.

Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.

Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.

Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.

Hata wewe nyani uko personal against Lissu...pengine unamwakilisha magu
 
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.

Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].

Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.

Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.

Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.

Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.

1597527860939.png

1597527734911.png

Empty Barrels Make the Most Noise
 
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.

Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].

Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.

Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.

Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.

Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.

Wewe umewahi kupigwa risasi?
Miafrika ndivyo mlivyo
 
Nyani leo amewakalia gado Chadema wanachungulia tu khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hawa watu wa ajabu sana wameshikiliwa akili zao na DJ
 
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.

Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].

Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.

Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.

Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.

Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.

..Jpm anadekezwa mno.

..Raisi gani ambaye hatakiwi kusemwa?
 
Lisu ni mbwatukaji, hafai kuwa Raisi, kupata kura asahau kabisa! Chandimu wameingia cha kike ruzuku ikfika mil 20 wakatambikie
 
Makamanda naona hamjanielewa.

Kwanza hakuna niliposema kuwa Lissu katukana.

Pili, nipo upande wa Lissu wa kutotaka jina lake lisienguliwe.

Tatu, nilichokielezea mimi ni wasiwasi wangu kwamba, kwa kauli anazozitoa, kauli hizo ndo za wenza kujenga msingi wa yeye jina lake kutokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, kwa kuwekewa figisu.

Nne, makamanda wengi mna uwezo mdogo sana wa kiakili ndo maana hamjaelewa nilichokiandika.

Article yako mzuri sana utulivu unatakiwa kuisoma, Pia Ina namba ya kuchangia pesa Mpesa kumsaidia Lissu
 
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.

Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].

Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.

Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.

Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.

Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.

Kumbe wamechoma ofisi makusudi wakijua ni mbaya na ipo sehemu mbaya ili waombe michango ya kujenga ofisi nzuri. Ni washamba sana hawa.

Na huyu jamaa humtukana Rais hata kimoyomoyo.
 
Kwani jiwe ndio nani ktk nchi hii na hata kama ni wewe ndio ungefanywa hivyo alivyofanywa jamaa bado tu ungegeuza shavu.

Acheni unafiki bwana, hao watu walimuumiza sana huyo jamaa acha naye amchome tu mikuki na kumshushia nondo za 30 mm ndio naye ashike adabu.
 
Kumbe wamechoma ofisi makusudi wakijua ni mbaya na ipo sehemu mbaya ili waombe michango ya kujenga ofisi nzuri. Ni washamba sana hawa.

Na huyu jamaa humtukana Rais hata kimoyomoyo. Hana akili kabisa na domo lake.
Siku hizi kuna watu hawamuabudu tena Mungu bali wao mungu wao ni rais, kufuru kubwa sana ni ibada ya sanamu hiyo na nashangaa hata wale wanaojiita viongozi wa dini pia tayari shetani keshawateka.
 
Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.
Well said....lakin hatokatwa
Lissu ataachwa ajimalize mwenyewe wakati wa kampeni kwa hasira zake
 
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.

Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].

Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.

Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.

Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.

Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.

Mkuu, hapo tusi lipo wapi??
Jina la JiWE mh. Pombe alijibambikia mwenyewe. Ngosha kwa kisukuma ni mwanaume.
We nyani huna jipya, unasumbuliwa na ukabila, pamoja na chuki kubwa mno kwa mh. Lissui
 
Yaani jiwe katuaribia nchi sana, katengeneza kitu vichwan mwa watendaji na wafuasi wake kwamba hatakiwi kukosolewa, neno lake ndio sheria, yeye anapaswa kusifiwa tu na anaye mkosoa sio mzalendo, hatari sana hii

Jana wamekusanya wasanii zaidi ya 200 uwanja wa Taifa wote wametunga nyimbo za kumsifia mpaka nikastajabu, sidhani hata Mungu atupaye pumzi uwa anapewa sifa anazopewa jiwe

Wakosoaji wake anawapa jina vibaraka wa mabeberu badala ya kujibu hoja zao, sijui anadhani Tz itaendelea kwa kuwachukia wazungu, yaani uwa simuelewi kabsa huyu jiwe

Hata hii mada ya nyani, anahofia Lissu kuenguliwa kwa vile anampa za uso Jiwe, it means ili Lissu asienguliwe amsifie kwa mapambao jiwe

Kwa sasa nchi hii tunaitaji watu 1000 majasiri kama Lissu wa kusema nyeupe ni nyeupe, nyekundu ni nyekundu
 
Back
Top Bottom