Uchaguzi 2020 Kwa rhetoric kama hizi, uwezekano wa jina lake kutokuwepo kwenye ballot paper unazidi kuongezeka

Uchaguzi 2020 Kwa rhetoric kama hizi, uwezekano wa jina lake kutokuwepo kwenye ballot paper unazidi kuongezeka

Sasa hapo Kuna neno gani baya ametamka,huyo yesu wenu anawazuzua sana
 
Sasa nyani hapo matusi yapo wapi?

Hivi nchi hii kuna mtu mwenye lugha za kejeli na matusi kama jiwe?
 
Sasa nyani hapo matusi yapo wapi?

Hivi nchi hii kuna mtu mwenye lugha za kejeli na matusi kama jiwe?
Makamanda naona hamjanielewa.

Kwanza hakuna niliposema kuwa Lissu katukana.

Pili, nipo upande wa Lissu wa kutotaka jina lake lisienguliwe.

Tatu, nilichokielezea mimi ni wasiwasi wangu kwamba, kwa kauli anazozitoa, kauli hizo ndo za wenza kujenga msingi wa yeye jina lake kutokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, kwa kuwekewa figisu.

Nne, makamanda wengi mna uwezo mdogo sana wa kiakili ndo maana hamjaelewa nilichokiandika.
 
Unajua kuwa ethiopian airlines ilipata shida ikatua kisongo airport arusha na kuhatarisha usalama wa watu sababu uwanja ulikuwa mdogo?
Unataka kusemaje hapa ndugu?
 
Kwa hiyo NEC Wana kanuni inayolsema mtu akisema Mimi siyo jiwe anaondolewa
 
Makamanda naona hamjanielewa.

Kwanza hakuna niliposema kuwa Lissu katukana.

Pili, nipo upande wa Lissu wa kutotaka jina lake lisienguliwe.

Tatu, nilichokielezea mimi ni wasiwasi wangu kwamba, kwa kauli anazozitoa, kauli hizo ndo za wenza kujenga msingi wa yeye jina lake kutokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, kwa kuwekewa figisu.

Nne, makamanda wengi mna uwezo mdogo sana wa kiakili ndo maana hamjaelewa nilichokiandika.
Jiwe anastahili lugha kali kama za Lissu, kazuia wenzie wasifanye siasa kwa miaka 5 kinyume na katiba ya nchi yetu,

Hamna kipindi wapinzani wamepewa kesi kama miaka hii mitano ya jiwe

Hakuna kipindi kuna uminywaji wa kuzungumza na udhibiti wa vyombo vya habari kama miaka 5 hii ya jiwe

Jiwe alishawai kukiri anatamani kuzima internet bongo tusiwe hewani sema hana ubavu uo tu, hata hii JF kwake ni chukizo, mulize Mello na makesi yanayomuandama kisutu kwasababu yetu mim na wew nyani

Jiwe si muhumini wa hoja kwa hoja, yeye hoja inajibiwa na polisi au kwenda lupango

Machukizo ya jiwe nikiorodhesha hapa sitomaliza na ukitaka jiwe awe rafiki ako uwe mtu wa mapambio kama wale maskofu wa TAG jana

Sasa mtu wa aina iyo anaitaji lugha nzuri kweli nyani?

Go go go Lissu
 
Nyani Ngabu unahama tu leo kwa Tundu Lissu kesho kwa Bernard Membe. Chakubanga inabidi akuongezee posho maana unajituma sana,wewe ni MATAGA kweli kweli.
 
Kwani aliyesema anaitwa jiwe si yupo? Sio tusi
Kwani lissu n ngosha? Si ni mtu wa ikungi sio msukuma
 
Hebu jaribu kuwa katika nafasi ya Tundu Lissu....

Kwa vyovyote inaumiza sana. Kibinadamu inaumiza sana. Bila msaada wa Mungu mwenyewe, ni ngumu sana kumsamehe mtu aliyepanga, kulipia (fadhili) na kusimamia na kutekelezwa kwa jaribio la mauaji la huyu ndugu...

Ni ngumu, na ni ngumu sana kila mtu anajua, hata wewe unajua kuwa ni ngumu. Lakini anapaswa kusamehe tu kwa vyovyote maana anayehukumu watu ni Mungu mwenyewe...

Kuhusu hili uliloposti hapa, haiwezi kuwa kigezo cha kumuondoa mgombea kwenye ballot paper unless utumike ubabe tu na siyo sheria...

Lakini tukumbuke kuwa, ubabe una impact hasi Siku zote. Na hiki ndicho anachokihubiri Tundu Lissu kila anapopita, kwamba, ni lazima kila mtu atendewe kwa mujibu wa sheria na siyo mapenzi ya mtu....

HAKI HUINUA TAIFA...
 
Kwahiyo kugombea uongozi wowote nchi hii ni mpaka Magufuli aamue nani agombee na nani asigombee?

Na sio katiba ya nchi iliyojengwa na civilization ya watu milioni 60 wenye utu na utashi timamu?

Kwahiyo wananchi wa nchi hii wanaoongozwa na law of land hwalizojichangulia wenyewe throughout history of land na hawana kitu wanajua au nguvu mpaka Magufuli aseme nani na nani wagombee nchi hii?

Kuna Tanzania halafu kuna Magufuli?

Yaani Magufuli ni juu ya sheria,yaani Magufuli ni supreme na wananchi wote wako subject to his whims and wishes na sio sheria za nchi tena?
 
Kwani jiwe ni nani?
Rais Magufuli ndiye kwa maneno yake alisema, 'mimi ni Jiwe kwelikweli'.

Halafu tena aliwahi kunena, "wewe Mpina ni kichaa kama mimi".

Hili la pili, japo ni yeye mwenyewe alijiita, lakini kwa wengi tunaona lina ukakasi kumwita mtu. La Jiwe, wengi wameliona ni rahisi, na labda linaendana naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anawadharau Sana wasukuma ngoja watamuonesha adabu oktobaa
 
Tunashkuru kuweka hii video aisee. Tumepata namba ya kuchangia ofisi ya kanda ya Kaskazini. Sasa ni kutuma miamala tu. Namba hizo za kuchanga wandugu tuchangamke. Rais kasema akifika Arusha wakati wa kampeni akute imejengwa.
 
Back
Top Bottom