Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Inavyoonekana ni fundi ujenzi wa madaraja na barabara.Kwani Magufuli ni fundi ujenzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inavyoonekana ni fundi ujenzi wa madaraja na barabara.Kwani Magufuli ni fundi ujenzi?
Makamanda naona hamjanielewa.Sasa nyani hapo matusi yapo wapi?
Hivi nchi hii kuna mtu mwenye lugha za kejeli na matusi kama jiwe?
Unataka kusemaje hapa ndugu?Unajua kuwa ethiopian airlines ilipata shida ikatua kisongo airport arusha na kuhatarisha usalama wa watu sababu uwanja ulikuwa mdogo?
Umeuliza swali au umetoa kauli?Kwa hiyo NEC Wana kanuni inayolsema mtu akisema Mimi siyo jiwe anaondolewa
Jiwe anastahili lugha kali kama za Lissu, kazuia wenzie wasifanye siasa kwa miaka 5 kinyume na katiba ya nchi yetu,Makamanda naona hamjanielewa.
Kwanza hakuna niliposema kuwa Lissu katukana.
Pili, nipo upande wa Lissu wa kutotaka jina lake lisienguliwe.
Tatu, nilichokielezea mimi ni wasiwasi wangu kwamba, kwa kauli anazozitoa, kauli hizo ndo za wenza kujenga msingi wa yeye jina lake kutokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, kwa kuwekewa figisu.
Nne, makamanda wengi mna uwezo mdogo sana wa kiakili ndo maana hamjaelewa nilichokiandika.
Lissu ni ngosha. Fact.Kwani aliyesema anaitwa jiwe si yupo? Sio tusi
Kwani lissu n ngosha? Si ni mtu wa ikungi sio msukuma
Rais Magufuli ndiye kwa maneno yake alisema, 'mimi ni Jiwe kwelikweli'.Kwani jiwe ni nani?
Ni jiwe.Kwani jiwe ni nani?