Kwa Rwakatare je hii ni halali?

Kwa Rwakatare je hii ni halali?

acha aendelee kusota rumamnde ni mtu hatari sana huyu, akiachiwa atatumaliza!
 
Masaa ishirini na nne kitu gani?Shk Ponda miezi mitano sasa yupo gerezani!Na ukiangalia uzito wa kosa la Lwakatare na la Ponda la Lwakatare ni kosa Kubwa mno.Kumuachia itahatarisha usalama wa wanahabari!
Haha Si kila siku nasikia yupo mahakamani? Shida sio kukaa gerezani shida ni kumfikisha mahakamani.
 
Haki yao kina nani, na wengine ni akina nani? Kinachozungumzwa hapa tunasema lwakatare anapaswa kupelekwa mahakamani sheria hairuhusu mtu kukaa selo zaidi ya saa 24 sasa tatizo liko wapi?

Chadema inaipeleka puta CCM lakini kuhusu Waislamu, inaungana na CCM kuwashughulikia!
 
Haki yao kina nani, na wengine ni akina nani? Kinachozungumzwa hapa tunasema lwakatare anapaswa kupelekwa mahakamani sheria hairuhusu mtu kukaa selo zaidi ya saa 24 sasa tatizo liko wapi?

Utapata tabu ndugu yangu kuelezea hilo jambo,tatizo siyo lao ila hawaelewi tofauti iliyopo kati ya selo(kituo cha polisi) na kuwa mahabusu.
Msaada kwao *nemasisi* anasema mtu anaweza kuwa mahabusu(gerezani na si kituo cha polisi) kwa muda mrefu kwa kuwa kesi yake imeshafika mahakamani hivyo anasubili mahakama maamuzi ya mahakama, ila sheria hairuhusu mtu yoyote kukaa kituo cha polisi zaidi ya masaa 24 bila kufunguliwa mashtaka na mbaya zaidi haiwezekani mtu aliyefunguliwa mashtaka kukaa kituo cha polisi baada ya mahabusu(mahakani), ni uchizi haiwezekani.

Sasa swala la shekhe ponda kunyimwa dhamana hapa ktk mada hii halikuzungumzwa hivyo hakuna aliyetoa maoni kuwa shekhe wetu ponda kunyimwa dhamana ni sahihi au si sahihi. Kama mnataka tujadili hilo basi ni vema mkaweka thread hapo ya swala hilo kisha watu tuweke maoni yetu. Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom