Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha Si kila siku nasikia yupo mahakamani? Shida sio kukaa gerezani shida ni kumfikisha mahakamani.Masaa ishirini na nne kitu gani?Shk Ponda miezi mitano sasa yupo gerezani!Na ukiangalia uzito wa kosa la Lwakatare na la Ponda la Lwakatare ni kosa Kubwa mno.Kumuachia itahatarisha usalama wa wanahabari!
Lwakatare ni gaidi period.
Haki yao kina nani, na wengine ni akina nani? Kinachozungumzwa hapa tunasema lwakatare anapaswa kupelekwa mahakamani sheria hairuhusu mtu kukaa selo zaidi ya saa 24 sasa tatizo liko wapi?
acha aendelee kusota rumamnde ni mtu hatari sana huyu, akiachiwa atatumaliza!
acha aendelee kusota rumamnde ni mtu hatari sana huyu, akiachiwa atatumaliza!
taratibu jamani, tujenge hoja za kisheria sio za kidakuamemgaidi mama yako?
Haki yao kina nani, na wengine ni akina nani? Kinachozungumzwa hapa tunasema lwakatare anapaswa kupelekwa mahakamani sheria hairuhusu mtu kukaa selo zaidi ya saa 24 sasa tatizo liko wapi?