Kwa sababu hawataki katiba mpya, maandamano makubwa yaitishwa mpaka taifa letu lipate katiba mpya.

mbinu yeyote itumike tuhakikishe katiba Mpya inapatikana! Hii sio agenda ya chama ama kikundi flani. Ni takwa la WANANCHI wa Tanzania hasa waTanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…