Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Umri mdogo kuendekeza mapendi, jitafute kwanza, tafuta ela hao wanawake hawajawahi kuisha duniani na utawaacha!! Pambana toka maghetoni gadamiti weweee, acha utegemezi toka, kuzaliwa maskini sio kosa, ila kufa maskini ni kosa kenge wewe....!!
Mwaka unapinduka unawaza wanawake tu na mapenzi, bora hiyo familia wamekukata ndio uongeze mapambano gadamiti!! Hakuna atakayekuheshimu ukiwa maskini tena kijana mdogo kabisa hata 30 hujafika umeanza kulialia, una utoto mwingi sana, ushakuwa mtu mzima acha wenge
Mara mtoto mdogo 30 hajafika mara mtu mzima so which is which?
 
Ni mjasiriamali mdogo
May be wazee huona mbali, wako protective. Like you umepoteza lakin umepata mwngne along the journey. Huwenda ikatokea kwangu pia.
Nakubaliana na wewe DEVINE NATURE imechukua mkondo wako.
Thanks man
Mmeanza nanujinga wenu wa divine intervation 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.

To cut long story short,

Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.

SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.

Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.

Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.

Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia

*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight

Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.

Asanteni


MY FEEDBACK

Nashukuru sana wanaJF, nimepata POSITIVE FEEDBACK nyingi.
Si za kunishusha wala kunipamba uongo, BUT zenye kunionyesh reality
Maisha ni safar moja ndefu yeny ups&down, miba na maua. Sometimes tunajifunza vitu the hard way.
Usipofunzwa na mzaz utafunzwa na walimwengu.

Now i feel relieved kuliko nilivyokuw in past days

Positively, asanteni na mbarikiwe sana walimwengu

#HAPPYNEWYEAR 2025
Kwema? Nisaidie namba za huyo binti kwa pm, barikiwa
 
Kwa wewe kukataliwa na kuja kutafuta sympathy humu tayari ushalamba mchanga. Kama binti anakubaliana na wazazi kuwa wewe ni kapuku ni wakati wako wa kujitathmini na uchape lapa.
I believe hili jukwaa ni la kubadilishan mawazo na kupeana ushauri, sitafuti sympathy.
Bahat nzur nimepata mawazo/ushauri chanya kutoka kwa waungwana, cant ask anythin mor than that.

Kapuku mim nachukua kauli ya mwisho "Ni wakati wangu wa kujitathimin na kuchapa lapa"
Kama ipo ipo tu, asante man
 
Back
Top Bottom