Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Tena nilikua nalipiwa na mzee hio masters/ mzee alikua sahihi kwanza sikua above 25 ki kawaida japo sio Sheria at least anzisha familia 30's
Wewe umeona kigezo icho TU...unajua mzee alikua anani shepu/ alitaka niwe nani? By the way nilifuata mawazo ya wazee na Sasa Nina Maisha yangu ya uchumi wa Kati juu/ yaani uwezo wa kulipa nauli ya ndege Kama wewe unavyo lipia daladala...
Mwanangu wewe umejuaje kama napanda japo ni kweli upo sahihi napanda dala bado nipe kazi Sasa mkubwa kama upo dsm
 
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.

To cut long story short,

Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.

SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.

Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.

Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.

Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia

*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight

Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.

Asanteni
Hilo pigo la kimaisha na kimapenzi bado halijakamilika kwa huyo mtoto wa kichaga. Wazazi wamekuambia ukweli utamtesa mtoto wa watu. Pigo la kimaisha na la kimapenzi litakamilika ukilazimisha kumuoa ukafanikiwa. Lazima upate maumivu unayosikia sasa kwa speed ya kindege cha aviator.

Kwa mchaga jitafute kwanza tofauti na hapo utakuja kuto-wambe ndani kwako.
 
Ni kwel, better now nimwache aende
 
Back
Top Bottom