Takemetochurch
Member
- Dec 29, 2024
- 83
- 140
- Thread starter
- #161
Ntatafuta mbugila wenzangu, asnteUshauri, tafuta hela au la tafuta mbugila mbugila wenzako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntatafuta mbugila wenzangu, asnteUshauri, tafuta hela au la tafuta mbugila mbugila wenzako.
Piga mimba mkuu Acha mambo mengi utakabidhiwaa kwan haoo wazazi una wala waoMimba itaturudisha wote nyuma, ni mzigo, na pia itathibitisha point yao. Shukran
very well said, ni kam umeingia umevaa viatu vyangu haswa.Dogo pole sana.
Ipo hivi.
Unapokua katika Hali uliyonayo wewe, unakua na Imani kwamba huyo binti ndio mzuri na anafaa kuliko wote duniani. Unakua unapata picha Kwa mba ukimuacha unaweza usipate mwingine kama yeye.
Wengi tumepitia hali hiyo. Mimi nilikuja kutambua kua yule alikua kiazi sana yaan kiazi haswa. Kama ningemuoa, ndoa ingenishinda na kama ningekomaa, ningekua mtumwa wa ndoa, yaan ndoa ingenie desha Sana na bila shaka ningekua mtu wa ajabu nisiye na maono ya wapi naenda.
Katika Dunia, Mungu kaumba wa kufanana. Changamoto huja pale anapomchelewesha kwako, yeye Mungu anakua na kusudi zuri tu, akija usimpoteze, akukute umejipanga na umeenea, sio ki pesa au mali, hapana, ki mawazo na utu uzima.
Jikaze, Sali sana, Muombe sana Mungu akuvushe salama.
Hujachelewa hata kidogo. Jipange kiutafutaji sana. Angalia channel zako za pesa zifanyie kazi haswa. Achana na kukimbizana na mapenzi, mpenzi kama huyo atakufanya ukimbizane na mapenzi kumridhisha yeye na sio kujenga maisha yenu ya baadae.
Alie wako atakuelewa vyema na mtayajenga yaliyo yenu.
fungua hii code kama unanifahamu mas---da au D..P...KHata mimi nakukataa.
Ishu si wazaz, kuleta kid ni kuongeza majukumu yasiohitajik kw muda huu. Nitawapa pointPiga mimba mkuu Acha mambo mengi utakabidhiwaa kwan haoo wazazi una wala wao
Tena nilikua nalipiwa na mzee hio masters/ mzee alikua sahihi kwanza sikua above 25 ki kawaida japo sio Sheria at least anzisha familia 30'sWazee wako nayo miyeyusho mkuu kwahiyo masters ndo inaoa?
Sasa baki hivyooIshu si wazaz, kuleta kid ni kuongeza majukumu yasiohitajik kw muda huu. Nitawapa point
Swali/hoja nzur, si kila mpambanaji anatusua kw wakat.Sasa usilaumu wazazi wako maana jukumu lao kwako liliisha ulipo fikisha miaka 18 tu..sasa hadi unafika late 20s means una 29 utuambie miaka yotee 11ulikuwa unafanya nini hadi uendelee kubaki ulivyo..
hujui tu, mimba ningeshampa kitambo.Wewe ni red flag ..utampa binti wa watu mimba ushindwe kulea mtoto uongze idadi ya single Maza....tafuta hela
Kabis, pesa tuMkuu kwa dharau hio
Hakikisha unapata pesa , then ukitaka kuwa na pisi basi tafuta yakishua.
Achana na hao masikini.
Ameen, focus on moneyMkuu temana na hiyo familia,mapenzi yanauma, ila wakupenda wapo wengi,TAFUTA HELA tu kwa sasa,watakuja wenyewe wakugombanie hadi uchanganyikiwe
KUVUNJIKA KWA KOLEO SIO MWISHO WA UHUNZI MKUU.Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.
To cut long story short,
Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.
SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.
Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.
Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.
Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia
*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight
Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.
Asanteni
Basi Mkuu bado una safari ndefu ya kuikata minyororo ya umasikini kiongozi.Mm mtazamo kwa binti yangu ni , huyo kijana awe na
1> kijana awe na akili timamu
2> kijana awe na muonekano ili niwe na wajukuu wazuri
3> kijana asiwe shoga wa mlevi na vingine vya kufanana na hivyo.
Pesa watatafu wote.
Aisee pole sanaa kiukweli umaskini unatesa sanaa, sijajua una kazi rasmi tayari au unajishughulisha na biashara au kazi za muda mfupi? Ila uhalisia ni kwamba ni ngumu kuingia baadhi ya familia/koo na kuposa binti yao bila ya wao kujiridhisha juu ya hali yako ya kiuchumi pamoja na background ya familia yako. Hivyo basi natumia wasaa huu kukutia moyo kwamba tofauti za hali ya kiuchumi zimesabibisha utengano wa penzi lenu na huyo binti. Usikate tamaa chukua hiyo kama changamoto na uifanyie kazi, kuna siku Mungu huyu atakuinua na wale waliokukataa watatamani kuwa karibu na wewe hawatokumbuka kama walikukata. Jiambie nafsi yako "Mimi ni Yusufu lazima watakuja watu kutoka maeneo mbalimbali na kutafuta kuniona" ninekuambia hivyo kwa sababu ya hadithi ya Yusufu tunayemsoma kwenye neno la Mungu naye alitwezwa na Nduguze lakini ulifika wakati wakamtafuta kutoka Mbali. Mungu akujaalie upate KIBALI .Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.
To cut long story short,
Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.
SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.
Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.
Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.
Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia
*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight
Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.
Asanteni
Hongera things worked out for youTena nilikua nalipiwa na mzee hio masters/ mzee alikua sahihi kwanza sikua above 25 ki kawaida japo sio Sheria at least anzisha familia 30's
Wewe umeona kigezo icho TU...unajua mzee alikua anani shepu/ alitaka niwe nani? By the way nilifuata mawazo ya wazee na Sasa Nina Maisha yangu ya uchumi wa Kati juu/ yaani uwezo wa kulipa nauli ya ndege Kama wewe unavyo lipia daladala...
Kweli kabisaa kaka uko sawaBasi Mkuu bado una safari ndefu ya kuikata minyororo ya umasikini kiongozi.
Watu wanasema sijui tuangalie upendo mara mali ni vitu vya kupita. Huo ni uongo mali ni muhimu sana na kwa sasa mali zinaangaliwa kupitia uwezo wa uchumi wa mhusika.
Kama unataka kuwa tabaka la juu lazima uwe na uchumi imara la sivyo utabaki tabaka la chini, vizazi hadi vizazi Mkuu. Nikuibie siri, kuna baba wakwe wa maana sana kaskazini wapo tayari kukupa mtaji na kukusapoti sana ila sasa ukishakuwa na umasikini ni ngumu sana wao kukuamini kiongozi. Nadhani baba wa binti kaliwaza hilo vizuri sana.
Pamoj manSasa baki hivyoo
AmeeenAisee pole sanaa kiukweli umaskini unatesa sanaa, sijajua una kazi rasmi tayari au unajishughulisha na biashara au kazi za muda mfupi? Ila uhalisia ni kwamba ni ngumu kuingia baadhi ya familia/koo na kuposa binti yao bila ya wao kujiridhisha juu ya hali yako ya kiuchumi pamoja na background ya familia yako. Hivyo basi natumia wasaa huu kukutia moyo kwamba tofauti za hali ya kiuchumi zimesabibisha utengano wa penzi lenu na huyo binti. Usikate tamaa chukua hiyo kama changamoto na uifanyie kazi, kuna siku Mungu huyu atakuinua na wale waliokukataa watatamani kuwa karibu na wewe hawatokumbuka kama walikukata. Jiambie nafsi yako "Mimi ni Yusufu lazima watakuja watu kutoka maeneo mbalimbali na kutafuta kuniona" ninekuambia hivyo kwa sababu ya hadithi ya Yusufu tunayemsoma kwenye neno la Mungu naye alitwezwa na Nduguze lakini ulifika wakati wakamtafuta kutoka Mbali. Mungu akujaalie upate KIBALI .
Nawez kukubaliana na ww, ila nasikitika wamenihukumu mapema sana.Basi Mkuu bado una safari ndefu ya kuikata minyororo ya umasikini kiongozi.
Watu wanasema sijui tuangalie upendo mara mali ni vitu vya kupita. Huo ni uongo mali ni muhimu sana na kwa sasa mali zinaangaliwa kupitia uwezo wa uchumi wa mhusika.
Kama unataka kuwa tabaka la juu lazima uwe na uchumi imara la sivyo utabaki tabaka la chini, vizazi hadi vizazi Mkuu. Nikuibie siri, kuna baba wakwe wa maana sana kaskazini wapo tayari kukupa mtaji na kukusapoti sana ila sasa ukishakuwa na umasikini ni ngumu sana wao kukuamini kiongozi. Nadhani baba wa binti kaliwaza hilo vizuri sana.
Sure sirud nyuma especially nimejipata. Acha nimbless mwingneMwanangu utamrudiaje snich kama huyo