Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Mara mtoto mdogo 30 hajafika mara mtu mzima so which is which?
 
Ni mjasiriamali mdogo
May be wazee huona mbali, wako protective. Like you umepoteza lakin umepata mwngne along the journey. Huwenda ikatokea kwangu pia.
Nakubaliana na wewe DEVINE NATURE imechukua mkondo wako.
Thanks man
Mmeanza nanujinga wenu wa divine intervation 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwema? Nisaidie namba za huyo binti kwa pm, barikiwa
 
Kwa wewe kukataliwa na kuja kutafuta sympathy humu tayari ushalamba mchanga. Kama binti anakubaliana na wazazi kuwa wewe ni kapuku ni wakati wako wa kujitathmini na uchape lapa.
I believe hili jukwaa ni la kubadilishan mawazo na kupeana ushauri, sitafuti sympathy.
Bahat nzur nimepata mawazo/ushauri chanya kutoka kwa waungwana, cant ask anythin mor than that.

Kapuku mim nachukua kauli ya mwisho "Ni wakati wangu wa kujitathimin na kuchapa lapa"
Kama ipo ipo tu, asante man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…