johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hiv ruzuku inatolewa kwenda Chadema? Kama ndio, je inapokelewa? Tupatiwe ushahidi wa kibenki!Kama unabisha subiri Baraza Kuu la Chadema ambalo ni Jipya litakapoketi
Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2
Hata Tundu Lisu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa Chadema kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee
Mungu wa mbinguni awabariki nyote ππ
Na isipotekea hivyo tutakuvisha dera na shanga.Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.
Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.
Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Jo huo ni utabiri wako ,utafiti wako,habari ya kuaminika au ramli chonganishi kama ilivyo kawaida ya jirani zetu wasio tutakia memaπ€Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.
Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.
Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Lakini cdm hakuna ulaji ni utumishi na mateso Toka serekaliKama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.
Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.
Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Kama hakuna Ulaji Rushwa na ngumu zingetumika kutafuta Uongozi? Acha ujinga weweLakini cdm hakuna ulaji ni utumishi na mateso Toka serekali
Atakayejitokeza kugombea kuchukua nafasi ya mbowe atakuwa amepikwa ameoikika hasa
Nimuombe johnmpatizani badala ya kupiga ramli tuwaombee Hawa chama pinzani, uimara wao ndo uimara wa nchi
Wacha tuone!Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.
Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.
Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Wewe ndiye msemaji wa Lissu.Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.
Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.
Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Naona unalazimisha ionekane kila chama kiko kama chama la majizi ccmπ Ule upuuzi wa kulazimisha kupost picha eti kuna vurugu kwenye uchaguzi wa cdm, naona hauwalipi kivile.Kama hakuna Ulaji Rushwa na ngumu zingetumika kutafuta Uongozi? Acha ujinga wewe
Msigwa alimwaga kila kitu kama ule uchuro wako ulivyokuwa unatamani, au aliondoka na kila alichotaka kukimwaga?Wacha tuone!
ππππππNaona unalazimisha ionekane kila chama kiko kama chama la majizi ccmπ Ule upuuzi wa kulazimisha kupost picha eti kuna vurugu kwenye uchaguzi wa cdm, naona hauwalipi kivile.
Ahonge hela atoe wapi? Au unadhani Kila mtu anamiliki pesa chafu kama wauza unga wa ccm?ππππππView attachment 3003401
Kwa Mbowe ππAhonge hela atoe wapi? Au unadhani Kila mtu anamiliki pesa chafu kama wauza unga wa ccm?
Wewe ni Sisimizi hapo Ufipa stNa isipotekea hivyo tutakuvisha dera na shanga.
Naona Sugu na Msigwa wamewaaibisha. Mlitegemea mgogoro Sasa mnaona aibu , baada ya Msigwa kukubali kushindwa. Endeleeni na Majungu.Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.
Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.
Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Lisu nilikuwa naye Nccr Mageuzi π namjua hanaga Bei mgongoniWewe ndiye msemaji wa Lissu.
Rushwa ipo CCM wewe mnafiki.Kama hakuna Ulaji Rushwa na ngumu zingetumika kutafuta Uongozi? Acha ujinga wewe
Mnatengeneza vijarida vya kuokoteza. Ila mmeabika.ππππππView attachment 3003401
Ni mtu mjinga tu aliyeamini mchungaji Msigwa atamshinda Sugu wa Nusu mkateNaona Sugu na Msigwa wamewaaibisha. Mlitegemea mgogoro Sasa mnaona aibu , baada ya Msigwa kukubali kushindwa. Endeleeni na Majungu.
Kama unalijua Hilo kelele za Nini?Lisu nilikuwa naye Nccr Mageuzi π namjua hanaga Bei mgongoni