johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.
Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.
Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.