Pre GE2025 Kwa safu hii ya uongozi wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake watasamehewa na lawama zote watabebeshwa Hayati Magufuli na Job Ndugai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.

Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.

Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
 
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la Chadema ambalo ni Jipya litakapoketi

Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2

Hata Tundu Lisu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa Chadema kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee

Mungu wa mbinguni awabariki nyote 😃😃
Hiv ruzuku inatolewa kwenda Chadema? Kama ndio, je inapokelewa? Tupatiwe ushahidi wa kibenki!
 
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.

Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.

Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Na isipotekea hivyo tutakuvisha dera na shanga.
 
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.

Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.

Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Jo huo ni utabiri wako ,utafiti wako,habari ya kuaminika au ramli chonganishi kama ilivyo kawaida ya jirani zetu wasio tutakia mema🤓
 
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.

Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.

Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Lakini cdm hakuna ulaji ni utumishi na mateso Toka serekali

Atakayejitokeza kugombea kuchukua nafasi ya mbowe atakuwa amepikwa ameoikika hasa

Nimuombe johnmpatizani badala ya kupiga ramli tuwaombee Hawa chama pinzani, uimara wao ndo uimara wa nchi
 
Kama hakuna Ulaji Rushwa na ngumu zingetumika kutafuta Uongozi? Acha ujinga wewe
 
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.

Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.

Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Wacha tuone!
 
Wewe ndiye msemaji wa Lissu.
 
Naona unalazimisha ionekane kila chama kiko kama chama la majizi ccm😂 Ule upuuzi wa kulazimisha kupost picha eti kuna vurugu kwenye uchaguzi wa cdm, naona hauwalipi kivile.
😂😂😂👇👇👇
20240526_111548.jpg
 
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.

Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.

Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Naona Sugu na Msigwa wamewaaibisha. Mlitegemea mgogoro Sasa mnaona aibu , baada ya Msigwa kukubali kushindwa. Endeleeni na Majungu.
 
Ni mtu mjinga tu aliyeamini mchungaji Msigwa atamshinda Sugu wa Nusu mkate

Watu Wana mahesabu ya mbele sana bwashee 😄😄

Mnec Salim asingebishana na Mwenyekiti wake
 
Back
Top Bottom