Pre GE2025 Kwa safu hii ya uongozi wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake watasamehewa na lawama zote watabebeshwa Hayati Magufuli na Job Ndugai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama unalijua Hilo kelele za Nini?
Tunazungumza tu hatupigi kelele

Hata kwenye group letu la Yanga Lisu kajitoa tumebakia tu na akina Mbowe, Mwigullu, Rizone, Bulaya, Mdee, Mavunde na mkuu wetu KJ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Posho zenu tayari bank?
 
Msigwa alimwaga kila kitu kama ule uchuro wako ulivyokuwa unatamani, au aliondoka na kila alichotaka kukimwaga?
Alianza Lissu kumwaga akamalizia msigwa kuna mtu alipewa kreti 4 za bia na lifti mpaka makambako ulitaka amwage nini tena!
 
Kwani mbowe anagombea Tena?
 
Sawa Juma Lokole.
Tundu Lisu ameweka offer mezani

196,000,000-79,000,000=120,000,000

Hizo atamaliziwa na Biashara upande wa Ufipa itakuwa imetamatika

Mawindo yatahamia kwa OMO wa ACT wazalendo 🐼
 
Tundu Lisu ameweka offer mezani

196,000,000-79,000,000=120,000,000

Hizo atamaliziwa na Biashara upande wa Ufipa itakuwa imetamatika

Mawindo yatahamia kwa OMO wa ACT wazalendo 🐼
Ndiyo mikato yako hii Juma Lokole
 
Stupid thinking alisema mama yenu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Stupid thinking alisema mama yenu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Lisu: Nimemwambia Abdul amwambie mama anilipe Salio langu

Kama una akili utaelewa Lisu ana hasira ya kutolipwa Fedha zake alizoahidiwa na si vingunevyo πŸ˜‚πŸ˜‚

Hiyo 120m Hata Jokate anaweza kumlipa na TAL akatulia Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…