CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Maneno ya kwenye kanga hayo. Ila shanga zitakuhusu hatuangalaii mvi au kipara.Wewe ni Sisimizi hapo Ufipa st
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya kwenye kanga hayo. Ila shanga zitakuhusu hatuangalaii mvi au kipara.Wewe ni Sisimizi hapo Ufipa st
Tunazungumza tu hatupigi keleleKama unalijua Hilo kelele za Nini?
Huyu ni Chui Jike siyo yule Simba wa Yuda, ni asali tu 😂Maneno ya kwenye kanga hayo. Ila shanga zitakuhusu hatuangalaii mvi au kipara.
Posho zenu tayari bank?Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.
Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.
Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Safari hii zitachelewa tunafadhili Chaguzi za Chadema kwanza kwa maslahi mapana ya CCM 2030 😄😄😄Posho zenu tayari bank?
Alianza Lissu kumwaga akamalizia msigwa kuna mtu alipewa kreti 4 za bia na lifti mpaka makambako ulitaka amwage nini tena!Msigwa alimwaga kila kitu kama ule uchuro wako ulivyokuwa unatamani, au aliondoka na kila alichotaka kukimwaga?
Hapana huyu Katibu mpya analipa kwa wakati tofauti na JoketiSafari hii zitachelewa tunafadhili Chaguzi za Chadema kwanza kwa maslahi mapana ya CCM 2030 😄😄😄
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.
Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.
Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
umvishe mara ngapi huyu. anatofauti gani na wavaa madera na shanga sasa?Na isipotekea hivyo tutakuvisha dera na shanga.
Kumbe ndiyo maana kuna wadau humu huwa wanamuita Juma Lokole!!!!umvishe mara ngapi huyu. anatofauti gani na wavaa madera na shanga sasa?
Umeshapanic dadeki 🐼umvishe mara ngapi huyu. anatofauti gani na wavaa madera na shanga sasa?
Utaongea yote lakini Chadema ni mali ya Bilionea Abdul 🐼Kumbe ndiyo maana kuna wadau humu huwa wanamuita Juma Lokole!!!!
Sawa Juma Lokole.Utaongea yote lakini Chadema ni mali ya Bilionea Abdul 🐼
Tundu Lisu ameweka offer mezaniSawa Juma Lokole.
Huna hoja wewe nyumbu,unaweweseka kama Msigwa.Mnatengeneza vijarida vya kuokoteza. Ila mmeabika.
Ndiyo mikato yako hii Juma LokoleTundu Lisu ameweka offer mezani
196,000,000-79,000,000=120,000,000
Hizo atamaliziwa na Biashara upande wa Ufipa itakuwa imetamatika
Mawindo yatahamia kwa OMO wa ACT wazalendo 🐼
Kreti 4 za beers nazo ni rushwa ama njaa tu?Alianza Lissu kumwaga akamalizia msigwa kuna mtu alipewa kreti 4 za bia na lifti mpaka makambako ulitaka amwage nini tena!
Stupid thinking alisema mama yenu 😀 😀 😀 😀 😀 😀Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.
Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.
Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Sisi kama CCM Kanda ya Nyasa tumekamilisha Kazi ya mama iliyoanzia Serena kwenye Birthday 🐼Ndiyo mikato yako hii Juma Lokole
Lisu: Nimemwambia Abdul amwambie mama anilipe Salio languStupid thinking alisema mama yenu 😀 😀 😀 😀 😀 😀