Pre GE2025 Kwa safu hii ya uongozi wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake watasamehewa na lawama zote watabebeshwa Hayati Magufuli na Job Ndugai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama unalijua Hilo kelele za Nini?
Tunazungumza tu hatupigi kelele

Hata kwenye group letu la Yanga Lisu kajitoa tumebakia tu na akina Mbowe, Mwigullu, Rizone, Bulaya, Mdee, Mavunde na mkuu wetu KJ 😂😂😂😂😂
 
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.

Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.

Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Posho zenu tayari bank?
 
Msigwa alimwaga kila kitu kama ule uchuro wako ulivyokuwa unatamani, au aliondoka na kila alichotaka kukimwaga?
Alianza Lissu kumwaga akamalizia msigwa kuna mtu alipewa kreti 4 za bia na lifti mpaka makambako ulitaka amwage nini tena!
 
Kwani mbowe anagombea Tena?
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.

Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.

Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
 
Tundu Lisu ameweka offer mezani

196,000,000-79,000,000=120,000,000

Hizo atamaliziwa na Biashara upande wa Ufipa itakuwa imetamatika

Mawindo yatahamia kwa OMO wa ACT wazalendo 🐼
Ndiyo mikato yako hii Juma Lokole
 
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi.

Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2.

Hata Tundu Lissu hawezi kushinda nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA kwa sababu Baraza Kuu limesheni Wafuasi wa Mbowe na Halima James Mdee.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Stupid thinking alisema mama yenu 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Lisu: Nimemwambia Abdul amwambie mama anilipe Salio langu

Kama una akili utaelewa Lisu ana hasira ya kutolipwa Fedha zake alizoahidiwa na si vingunevyo 😂😂

Hiyo 120m Hata Jokate anaweza kumlipa na TAL akatulia Kabisa
 
Back
Top Bottom