Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu?
Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje kwasasa? Je, ni Mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza kukuamini wewe kwasasa?
Huoni aibu kwani? Na unaongoza wizara ya Ujenzi ipi? Je, unafaa tukuite waziri wetu kwa sasa?
Umetuaibisha, umetudhihaki na umetufedhehesha kwa kutaka kutuchuuza kwa hao Jamaa wa DP. Ni aibu kwako na aliyekuteua. Hufai kuendelea kukaa kwenye ofisi ya umma. Ondoka mzee ili ulinde heshima yako huko mbele.
Kwa sasa tunazima Radio na TV kila tukisikia unaongea. Hufai na hufai Tena.
Usipoteze muda kumshambulia Mpina kwa kuhalalisha maovu yako kwetu, hatuna Imani na wewe tena kwa hiki ulichotaka kutuletea kwenye Taifa letu.
Ni aibu ni aibu kubwa. Wala hukujali kabisa maisha ya Watanzania. Ninachosikitika zaidi ni kuona wewe ni msomi tena professor lakini ulisaini memorandum ya hovyo Sana. Wewe siyo mzalendo.
Tafadhali mzee tupishe kwenye ofisi zetu za umma. Yale uliyotufanyia yanatosha, hatukuamini tena. Hata ikitumika nguvu kuzima sakats hili haisadii, tayari ukweli tunao Watanzania.
Wasomi wamenena.
Diaspora wamenena.
Wanasiasa wamenena.
Je, hawa wote wanachuki na wewe na aliyekuteua?
Ondoka mzee, Viva Tanzania 🇹🇿