Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Hauwezi kumuweka Samuel Doe katika kundi moja na Thomas Sankari. Samuel Doe alikuwa thug, muuaji, mwizi na aliifanyia nchi yake kila ubaya kabla ya yeye mwenyewe kuuawa. Thomas Sankara alikuwa mzalendo wa kweli na aliuliwa na wenzake walipoona anawazuia kuiibia nchi yao. Thomas Sankari kama ilivyokuwa kwa Patrice Lumumba ataenziwa siku zote kama shujaa wa Africa. Samuel Doe atalaaniwa kutokana na mabaya aliyofanyia nchi yake.Miaka hiyo ilikiwa sio rahisi kusikia rais fisadi na anayekumbatia ufisadi huku raia masikini wakiteseka akikaa madarakani alipinduliwa na kuuwawa kwa maslahi ya taifa.
Samuel Doe alifanya kweli kwa kumuondoa Torbet na genge lake.
Thomas Sankara alifanya kweli na mapinduzi yakafanyika na akapewa madaraka kwa maslahi ya taifa.
Leo hii waafrika wanalia nchi zao kuporwa mali na viongozi corrupt kwa kupigia mikataba ya kipuuzi kama ya akina chifu Mangungo.
Hawana guts ya kukomboa nchi zao.
Ila wazungu washenzi sana. Nilisoma historia ya Lumumba nikaishia kuona wazungu wasivyopenda viongozi wazalendo kwa nchi zao na jinsi waafrica tusivyokuwa na akili kwa uchu wa madaraka na mali.Hauwezi kumuweka Samuel Doe katika kundi moja na Thomas Sankari. Samuel Doe alikuwa thug, muuaji, mwizi na aliifanyia nchi yake kila ubaya kabla ya yeye mwenyewe kuuawa. Thomas Sankara alikuwa mzalendo wa kweli na aliuliwa na wenzake walipoona anawazuia kuiibia nchi yao. Thomas Sankari kama ilivyokuwa kwa Patrice Lumumba ataenziwa siku zote kama shujaa wa Africa. Samuel Doe atalaaniwa kutokana na mabaya aliyofanyia nchi yake.
Amandla...
Kibaya zaidi ni kuwa siku zote pamekuwepo vibaraka ambao walikuwa wako tayari kutekeleza uovu huo. Sankara aliuliwa na rafiki yake waliopindua nchi pamoja.Ila wazungu washenzi sana. Nilisoma historia ya Lumumba nikaishia kuona wazungu wasivyopenda viongozi wazalendo kwa nchi zao na jinsi waafrica tusivyokuwa na akili kwa uchu wa madaraka na mali.
Sankara unaambiwa yeye alimiliki tu baiskeli na gitaa. Hakuwa na mshahara.