FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Aisee hatuitaji ubishani kwa sasa Africa hakuna number 9 kumzidi Peter Shalulile
Huyu MNAMIBIA anajua kufunga sana kwakweli, Number 9 natural huyu anafunga kila aina ya magoli
Ananikumbusha ubora wa Mbwana Samatta kipindi kile na TP MAZEMBE yake kabla hajaenda ULAYA.