Kwa sasa Afrika nzima hakuna number 9 bora kumzidi Peter Shalulile

Kwa sasa Afrika nzima hakuna number 9 bora kumzidi Peter Shalulile

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Aisee hatuitaji ubishani kwa sasa Africa hakuna number 9 kumzidi Peter Shalulile

Huyu MNAMIBIA anajua kufunga sana kwakweli, Number 9 natural huyu anafunga kila aina ya magoli

Ananikumbusha ubora wa Mbwana Samatta kipindi kile na TP MAZEMBE yake kabla hajaenda ULAYA.

IMG_20230315_124736.jpg
 
Ana miaka mingapi toka aanze soka.

Umetumia statics zipi kucompare na wachezaji wengine
 
Back
Top Bottom