Mayele vipi, au unamchukulia poa kwa kuwa tupo naye bongo?Aisee hatuitaji ubishani kwa sasa Africa hakuna number 9 kumzidi Peter shalulile
kwani wamechomeka wapi? (in JK voice)Simba hawachomoi
YouTube hakuna mchezaji mbaya.!Ingia YouTube Muangalie Peter shalulile
Watachomekewa nyuma mwiko😁kwani wamechomeka wapi? (in JK voice)
Hatuna mabando ya kuchezea, wewe kama umeshindwa kuweka haina haja ya mimi kumtafuta.Zitafute hadi nazo upewe?
Mayele ni mchezaji wa kawaida sana, huyu aliyeshindwa ku battel na akina mpole, aliyesimama na goli zake 15, kama phiri asingeumia angeshampita.Mayele vipi, au unamchukulia poa kwa kuwa tupo naye bongo?
Kwani wamechomeka mwiko nyuma huko?Simba hawachomoi Robo fainali