johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna tofauti kati ya KuIpigania na kupigania bwashee!Kupigania tume huru unamaana gani?Washike silaha za jadi watangaze vita?Kwa njia ya kidemokrasia,tume huru kupatikana chini ya utawala huu ni ndoto za mchana!
Kwa tofauti yeyote ile, hakuna namna tume huru ikapatikana awamu hii!Kuna tofauti kati ya KuIpigania na kupigania bwashee!
Mie nauliza tu,tume huru ya uchaguzi ni kwa faida ya nani na why ipiganiwe kwanza?Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya.
Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru.
Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado inaogopa Wafadhili kwani nijuavyo ni kwamba kwa sasa taifa letu linajitegemea.
Kwa NEC hii sitashangaa kuona wapinzani wakikosa mbunge na diwani hata mmoja katika uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba.
Na hapa asitafutwe mchawi bali wachawini wapinzani wenyewe.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa faida yako!Mie nauliza tu,tume huru ya uchaguzi ni kwa faida ya nani na why ipiganiwe kwanza?
Chadema imetajwa wapi bwashee?!Wakianzisha hizo HARAKATI wakikamatwa mnaanza kuwa sema vibaya.
Sasa hivi wametulia mnawachokoza.
Bila chadema hamnaa raha kabisa . au posho uwa inakata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujifanya poyoyo,huwezi kuutaja upinzani nchi hii bila kuitaja CHADEMA!Chadema imetajwa wapi bwashee?!
Sasa why mpinzani au chadema ndo waipiganie na wanaipigania toka kwa nani na anatunyima hiyo tume kwa faida ya nani?Kwa faida yako!
Hapo Ufipa mpinzani ni Tundu Antipas Lisu pekee waliobakia wote ni jamii ya CCM!Acha kujifanya poyoyo,huwezi kuutaja upinzani nchi hii bila kuitaja CHADEMA!
Endelea kukariri bwashee!Sasa why mpinzani au chadema ndo waipiganie na wanaipigania toka kwa nani na anatunyima hiyo tume kwa faida ya nani?
Nakuelewa sana,kwamba watanzania wengi including watawala either kwa kupata elimu mbovu au umasikini wa mali na akili au njaa au ujinga tunaamini tume huru ya uchaguzi ni kwa ajiri ya chadema na wapinzani wengine, wachache sana ndo wanaweza kujua kuwa tume huru ya uchaguzi ni kwa faida yao na nchi yaoEndelea kukariri bwashee!
Chadema imetajwa wapi bwashee?!
ACT wazalendo ni chama makini!Kuna chama cha upinzani kinachoishinda chadema kwa HARAKATI hapa nchi ni?
Unadhani buku 7 mnalipwa kushindana na wanachama wa cuf mitandaoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya.
Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru.
Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado inaogopa Wafadhili kwani nijuavyo ni kwamba kwa sasa taifa letu linajitegemea.
Kwa NEC hii sitashangaa kuona Wapinzani wakikosa mbunge na diwani hata mmoja katika uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba.
Na hapa asitafutwe mchawi bali wachawini wapinzani wenyewe.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa akili yako unazani tume huru ni ya Wapinzani!! Nikitegemea useme Tume huru ni ya watanzania wote na tuipiganieKiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya.
Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru.
Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado inaogopa Wafadhili kwani nijuavyo ni kwamba kwa sasa taifa letu linajitegemea.
Kwa NEC hii sitashangaa kuona Wapinzani wakikosa mbunge na diwani hata mmoja katika uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba.
Na hapa asitafutwe mchawi bali wachawini wapinzani wenyewe.
Maendeleo hayana vyama!
Watapata Wabunge na Madiwani hapa JF huko mitaani hawapo tena! Ulifikiri Mbowe alipokimbilia Mwanza kwenda kujisalimisha alikuwa anamaanisha kwamba Saccos iko ICU mkuu!Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya.