johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Wengine Tume iliyopo wanaiamini bwashee....... Usikariri!Kiongozi wewe kwa ufupi hujielewi
Tunapoongelea Tume huru, Tunaongelea maisha ya watoto na wajukuu zetu baadae
Tunaongelea siku ukiwa haupo hapa duniani ungependa watoto wako waishi vipi kisiasa na kiuchumi
Hili la Tume huru ni la kila mtu,
Kwa wanaccm NEC iko huru bwashee!Kwa akili yako unazani tume huru ni ya Wapinzani!! Nikitegemea useme Tume huru ni ya watanzania wote na tuipiganie
Mie nauliza tu,tume huru ya uchaguzi ni kwa faida ya nani na why ipiganiwe kwanza?
Kati ya wanaJF wengi hapa, ni wewe unayenipa wakati mgumu kujua hasa unasimamia wapi; Tanzania au CCM.Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya.
Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru.
Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado inaogopa Wafadhili kwani nijuavyo ni kwamba kwa sasa taifa letu linajitegemea.
Kwa NEC hii sitashangaa kuona Wapinzani wakikosa mbunge na diwani hata mmoja katika uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba.
Na hapa asitafutwe mchawi bali wachawini wapinzani wenyewe.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa why mpinzani au chadema ndo waipiganie na wanaipigania toka kwa nani na anatunyima hiyo tume kwa faida ya nani?
Kila siku unashindwa kutimiza wajibu wako kwa sababu ibilisi anakuzidi nguvu na maarifa, je, kwa sababu ibilisi anakuzidi nguvu utajisalimisha kwake na kumkufuru Mungu?Kati ya wanaJF wengi hapa, ni wewe unayenipa wakati mgumu kujua hasa unasimamia wapi; Tanzania au CCM.
Mfano mzuri ni mada hii.
Umeandika ukweli mtupu usioweza kupingwa kirahisi.
Ingekuwa ni CCM kama CCM yenyewe, pengine pangekuwepo na mategemeo kwamba pamoja na udhaifu walionao vyama vya upinzani wangeweza wakajitutumua na wananchi wakawaonea huruma kwa baadhi ya maeneo.
Lakini hapa sio CCM tena, ni mtu mwenye mabavu ambaye hata CCM yenyewe haifurukuti mbele yake. Na kutokana na vifaa alivyonavyo, hakuna yeyote atakayezuia lolote analotaka yeye lifanyike.
Wapinzani, sijui kama safari hii watapona.
Na ukifikiri kwa undani wake, pengine ni bora kutokuwepo na upinzani katika hali hii, maana utakuwa unatia tu matumaini yasiyokuwepo. Upinzani usiokuwa na uwezo wa kubadili chochote hapo hakuna upinzani tena.
Ni bora uondoke tujue letu moja tu! Kwamba tunae mtu anayejua kila jambo na anayejua mahitaji yetu yote ya maendeleo yanayotakiwa kuwepo ndani ya nchi hii. Mtu anayejua kwamba wananchi hawahitaji kuwa na haki ya kuchagua viongozi wao, ila yeye anajua viongozi wanaohitajiwa na wananchi.
Jibu umekwishaliweka hapa mkuu 'infinix'.Kila siku unashindwa kutimiza wajibu wako kwa sababu ibilisi anakuzidi nguvu na maarifa,
Hapana.Kuna shida sana. Hivi bado tunafikiria uwepo wa tume huru ni kwa manufaa ya "wapinzani"? Kama hivyo ndivyo, hata hiyo demokrasia haina maana kabisa.
Nafikiri uwepo wa tume huru (soma demokrasia ya kweli) ni kwa manufaa ya watanzania na Tanzania yao. Watanzania ndio wanapaswa kupigania uwepo wa demokrasia ya kweli (ikiwapo tume huru) ili wapate viongozi wanaowataka kweli na kujiletea maendeleo.
Sawa. lakini kusema tume huru ya uchaguzi ni kwa manufaa ya wapinzani hiyo si sawa. Ukiona mtu anafurahia bunge au mbaraza ya madiwani kukosa wapinzani ujue kuna tatizo. Uwepo wa demokrasia ni kwa manufaa yetu sote....watanzania.Hapana.
Upinzani unatajwa tu kama uongozi kwa wananchi waliotayari kutafuta mabadiliko. Wananchi bila uongozi inakuwa shida kuendesha shughuli za kuleta mabadiliko.
Ni lazima pawepo na mipango na uratibu wa mipango ya kuyaleta mabadiliko hayo, ikiwa ni pamoja na ajenda ya kuwa na 'Tume Huru'.
Nchi hii haina upinzani, imejaa ma opportunist tuu ! Absolutely no credible opposition party ! Viongozi wabinafsi, wapigaji hela acha kabisa !Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya.
Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru.
Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado inaogopa Wafadhili kwani nijuavyo ni kwamba kwa sasa taifa letu linajitegemea.
Kwa NEC hii sitashangaa kuona Wapinzani wakikosa mbunge na diwani hata mmoja katika uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba.
Na hapa asitafutwe mchawi bali wachawini wapinzani wenyewe.
Maendeleo hayana vyama!
ACT wazalendo ni chama makini!
Well said!Nchi hii haina upinzani, imejaa ma opportunist tuu ! Absolutely no credible opposition party ! Viongozi wabinafsi, wapigaji hela acha kabisa !
Nahisi wewe ndo hujitambui na ndo maana umeshindwa kunielewaUkishajitambua utajua umuhimu wa kuwa na tume huru ya uchaguzi.
Kwa sasa endelea na ibada ya kusifu na kuabudu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wapinzani wa kweli huwa unawaona nchi gani na wana tofauti gani na hawa wa kwetu?Nchi hii haina upinzani, imejaa ma opportunist tuu ! Absolutely no credible opposition party ! Viongozi wabinafsi, wapigaji hela acha kabisa !
uwepo wa tume huru ya uchaguzi si utu utafanya democrasia itamalaki bali pia itatuongezea probability ya kupata viongozi wazuri na competent na hivyo kutuepusha na taifa kuwa na viongozi wa aina ya magufuliSawa. lakini kusema tume huru ya uchaguzi ni kwa manufaa ya wapinzani hiyo si sawa. Ukiona mtu anafurahia bunge au mbaraza ya madiwani kukosa wapinzani ujue kuna tatizo. Uwepo wa demokrasia ni kwa manufaa yetu sote....watanzania.