Kwa Sasa Hivi Ukila Mboga Kama Umekula Sumu.Ninashauri Serikali iingilie kati kwa undani zaidi kuhusu suala hili

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,112
Reaction score
34,951

Mheshimiwa Waziri Muhusika wa Kilimo alifuatilie jambo hili ni Muhimu kwa ajili ya Afya za Wananchi wanaokula mboga za majani. Kwani Wakulima wanawamaliza walaji wa mboga za majani Kwa kutia sumu nyingi ndani ya mboga za majani.
 
Sasa tule nini ndugu zangu maana unga dona ni sumu mahindi yanawekwa sumu moja kali sana hapo panya hasogei,kuku ndio hao wiki 3 bonge la kuku,paja,filigis,kidar kimevimbishwa na madawa,mboga za majani kama mchicha,chines,spinachi,hoho,nyanya zioapigwa dawa na mbolea kali sana yaani sikuiz nyanya hazioz hadi wiki,nyama,samaki uko mabuchani jamaa nao wana siri zao na watu wa mochwali hasa hawa wenye mabucha makubwa na mengi hua wanaweka dawa maalumu kufanya vitoweo visioze
 
Km una eneo Lima mahindibyako ya chakula
Pia panda mboga

Mi sumu labda nipate kwenye nyama
 
Unaweza lima chakula chako ila mazingira yatakufanya ule walicholima au kufuga wenzio ( nipo ukwenu hata toka juzi baba mkwe anafuga ng'ombe za maziwa kuna moja asubuhi akikamuliwa anatoa lita20.5,mwingine 18-19 na mmoja ndio anaanza ila anatoa lita 6 asubuh ila chakula anachowalisha ni hatar kina madawa kibao hadi kinatoa harufu)
 
Kwa taifa kama letu ambalo karibu kila mtu hayupo kwenye kujali mwengine au kufata sheria, kuepuka sumu hizo ikiwa huna bustani ni ngumu, maana unakuta nyanya inapigwa dawa leo na kuchumwa kesho
 
Sasa tule nini ndugu zangu maana unga dona ni sumu mahindi yanawekwa sumu moja kali sana hapo panya hasogei,kuku ndio hao wiki 3 bonge la kuku,paja,filigis,kidar kimevimbishwa na madawa,mboga za majani kama mchicha,chines,spinachi,hoho,nyanya zioapigwa dawa na mbolea kali sana yaani sikuiz nyanya hazioz hadi wiki,nyama,samaki uko mabuchani jamaa nao wana siri zao na watu wa mochwali hasa hawa wenye mabucha makubwa na mengi hua wanaweka dawa maalumu kufanya vitoweo visioze
Hapo mwishoni hapo,....umemaliza kila kitu

Ndio maana siku hizi hukuti nzi mabuchani hata kama nyama itakaa siku tatu/nne hadi tano....nzi hasogei pale
 
Kwa taifa kama letu ambalo karibu kila mtu hayupo kwenye kujali mwengine au kufata sheria, kuepuka sumu hizo ikiwa huna bustani ni ngumu, maana unakuta nyanya inapigwa dawa leo na kuchumwa kesho
Binafsi nikiwa nyumbani nikitaka kununua mboga ya majani nitanunua majani ya maboga. Maana kiasi ndiyo hawaweki dawa ukilinganisha na mchicha au mboga nyingine.
Ila pamoja na yote hakuna pa kuponea, kikubwa tujaribu kuounguza, maana vitu vingi ni GMO Sasa huna pa kuponea
 
  • Thanks
Reactions: Lax

naam mkuu kwa kuponea labda uwe shamba, ila ukishaanza kuingia gengeni , dukani , barabarani (broiler) kukwepa madawa ni jambo gumu sana.
maana hata viwango vya upigaji dawa ni kamali tu kila mtu anakipimo chake
 
Michina IMO humo ukiona hivyo.
Hata maparachi
Chi(takapela) Mbeya original kijijini mtu unapika ugali unaenda kuokota takapela nje hapo uani moja tu(1+kg)mnakula nyumba nzima mnasaza.
Kwasasa nilipita nikakuta pale kwetu kwanza mti wa takapela mkongwe sana umekatwa nililia sana kuuliza sababu eti wamepigwa elimu kilimo cha kisasa,na nikakuta mikahawa kibao imekatwa,migomba,etc kila kitu.
Namuuliza mjinga huyu (RIP)anayeangalia akasema walikuja wachina kuwasomesha kilimo cha kisasa🥲 na kuwapa mbolea na madawa!ndo lete (takapela)nikapewa hivi viparachichi kiko km ngumi ya mtoto mdogo.
Ile sehemu ipo haijauzwa mauzauza kibao na makaburi yamejaa pale mbere mmiliki nipo hapa.
 
Back
Top Bottom