Kwa Sasa Hivi Ukila Mboga Kama Umekula Sumu.Ninashauri Serikali iingilie kati kwa undani zaidi kuhusu suala hili

Kwa Sasa Hivi Ukila Mboga Kama Umekula Sumu.Ninashauri Serikali iingilie kati kwa undani zaidi kuhusu suala hili

Ukiweza panda mboga zako hata kwenye makopo kama maua. Hii ni kupunguza tu kidogo kiasi sumu zinazoingia mwilini
 
View attachment 3665358
Mheshimiwa Waziri Muhusika wa Kilimo alifuatilie jambo hili ni Muhimu kwa ajili ya Afya za Wananchi wanaokula mboga za majani. Kwani Wakulima wanawamaliza walaji wa mboga za majani Kwa kutia sumu nyingi ndani ya mboga za majani.
Kama nyumbani kwako unaeneo dogo sana hata la mita tano au kumi halina matumizi yoyote zaidi ya kuanika nguo panda mboga zako za majani ukiendelea kununua utauliwa na hawa wakulima wenye uhitaji wa fedha na hawana utaalamu wowote na dawa za kuua wadudu shambani.
 
Kuna siku nilikula mboga ya majani hadi namaliza kula sikujua ni majani gani maana ladha yake kwenye mchicha haipo, kwenye chainizi haipo wala kwenye tembele haipo

Nashukuru mungu nimehama daslam
Ulikula majani ya mbuzi🤣
 
Michina IMO humo ukiona hivyo.
Hata maparachi
Chi(takapela) Mbeya original kijijini mtu unapika ugali unaenda kuokota takapela nje hapo uani moja tu(1+kg)mnakula nyumba nzima mnasaza.
Kwasasa nilipita nikakuta pale kwetu kwanza mti wa takapela mkongwe sana umekatwa nililia sana kuuliza sababu eti wamepigwa elimu kilimo cha kisasa,na nikakuta mikahawa kibao imekatwa,migomba,etc kila kitu.
Namuuliza mjinga huyu (RIP)anayeangalia akasema walikuja wachina kuwasomesha kilimo cha kisasa🥲 na kuwapa mbolea na madawa!ndo lete (takapela)nikapewa hivi viparachichi kiko km ngumi ya mtoto mdogo.
Ile sehemu ipo haijauzwa mauzauza kibao na makaburi yamejaa pale mbere mmiliki nipo hapa.
Daaah
 
ma herbalist wa Kuafrika kitu ambacho hawajakataza mpaka sasa ni maji ya dukani tu kwakuwa hata wao maji ya mtoni wanayaogopa
 
Back
Top Bottom