Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

Hivyo tunarudi pale pale, kwa 90% hakuna tena ulazima wa watu kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree. Ni kupoteza rasimali tu. Maana mwisho wa siku hupati ajira wala huwezi kutumia degree yako kutengeneza kipato.
Elimu ni uwekezaji mzuri sana tu.

Kama una fursa ya kusoma no vyema uitumie vizuri, usiache kwa kigezo kuwa kazi hakuna.

Halafu hiyo elimu pia inapanua ufahamu wako na inaweza kukusaidia pindi utakapoamua kujikita kwenye sekta zingine za uzalishaji.
 
Mkuu hakuna degree nzuri au mbaya. Hata medicine wapo kitaa wanaendesha bodaboda.

Tatizo kubwa in lipo kwenye mtazamo (mindset) wa wasomi. Wengi mmejengwa na kuandaliwa kupewa ajira. Hapa ndipo penye kosa kubwa.

Lengo la degree siyo kuajiriwa kwenye fani uliyosomea kama mleta mada unavyotaka kutuaminisha. Lengo la degree ni kupanua mawanda ya kufikiri ili msomi aweze kuyakabili mazingira yake kwa namna toauti na asiyesoma.

Kwahiyo ktk nchi kama Tanzania iliyobarikiwa ardhi kubwa yenye rutuba na imezungukwa na mito, maziwa na bahati ni aibu kwa wasomi kuleta mada za kulalamikikia kukosa kuajiriwa. Mlienda chuo kudanga, kubet na kuvuta shisha badala ya kujielimisha. Shubamiti, ndengeleki ninyi!
 
Hapana sikubaliani na hiki ulichoandika hapa.

Mfumo wetu wa elimu ndio unatufanya tutegemee ajira, hilo sio kosa la wahitimu.

Elimu inayotolewa huko vyuoni kwa aslimia kubwa inamuandaa kijana kutafuta pakujiegemesha akishamaliza masomo yake, sio kama elimu ya ufundi inayompa mhitimu uwezo wa kujiajiri pale atapokosa ajira.

Utamtaka vipi mhitimu aliyemaliza medicine akajiajiri wakati hana hata nauli ya kumfikisha mjini kutafuta hiyo ajira?!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%.

Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu ya vyeti vya chuo kikuu haina mchango wowote wa mhitimu wa level ya degree kuweza kujiajiri moja kwa moja. Hapa chini ni baadhi ya fani zinazoangukia kwenye kundi hilo.

1. Public administration
2. Political science
3. Business administration
4. Procurement and supply
5. Human resource
6. Sociology
7. Environment
8. Language
9. Mass communication
10. Tourism
11. Banking
12. Accounting
13. Economy
14. Finance
15. History
16. Insurance
17. Tax
18. Cooperative
19. Marketing
20.

Kama wewe ni mhitimu wa hizo fani kwa miaka ya karibuni utaelewa hicho nilichokiandika, na kama wewe ni mwanafunzi wa hizo fani anza kujiandaa kisaikolojia, hali ni mbaya mtaani. Wahitimu ni wengi na hawana ajira yoyote, wamechoka vibaya, wameshazunguka na mabahasha mpaka soli za viatu kuchakaa, wamejitolea mpaka basi, wameshikiza mpaka wamedondoka na wengi wamekata tamaa kabisa, vyeti vyao wamesahau hata vipo wapi, havina msaada. Bado wanakula, kulala na kutunzwa na wazazi wao, mashemeji au wajomba. Wengine wameamua kujiajiri katika fani zingine ambazo hazina uhusiano wowote wa fani walizosomea na zenye kuhitaji elimu ya darasa la nne tu.
Wajanja wengine wameamua kurudi chuo, hususani kwa ngazi ya Diploma kusoma fani za ualimu au afya ili kuingia kwenye mkondo wa kuja kupata ajira hapo baadaye.

Jamani hali ni mbaya na tete.
Ukweli usemwe!
Hatuwezi kupima ubora wa elimu kwa kigezo cha AJIRA. Never!

Na kwa nn hili la digrii kuwa na kazi linaanzia kuleta shida ukiliangalia kwenye ajira tu?. Ulishawahi kujiuliza
 
Hapana sikubaliani na hiki ulichoandika hapa.

Mfumo wetu wa elimu ndio unatufanya tutegemee ajira, hilo sio kosa la wahitimu.

Elimu inayotolewa huko vyuoni kwa aslimia kubwa inamuandaa kijana kutafuta pakujiegemesha akishamaliza masomo yake, sio kama elimu ya ufundi inayompa mhitimu uwezo wa kujiajiri pale atapokosa ajira.

Utamtaka vipi mhitimu aliyemaliza medicine akajiajiri wakati hana hata nauli ya kumfikisha mjini kutafuta hiyo ajira?!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Binafsi nilitegemea wakimaliza warudi vijijini kwao wakaboreshe shughuli zinazofanywa na wazazi wao kwa kutumia degree zao.

Haiwezekani na haiingii akilini wazazi wasio na degree wamekabiliana changamoto zote mpk wakafanikiwa kuwasomesha hao wenye degree halafu waageuka kuwa mzigo.

Wajitambue na wajiamdaye kiakili kutatua changamoto za wazazi wao na kuendeleza pale wazazi wao walipoishia
 
Tunahitaji mapinduzi halisi ya viwanda(industrial revolution), hatuhitaji kuwa na wahitimu wa vyuo vikuu kwa wingi huo, tunahitaji wahitimu wa vyuo vya kati wafanye kazi kwenye viwanda.

Engineer mwenye shahada na mwenye fani yake kwa level ya diploma au cheti, atakayeleta thamani ni mwenye diploma.

Tunahitaji viwanda, otherwise tuna bomb kubwa.
Serikali ione mbali , ifungue nchi , tena kwa iwepo kwenye mojawapo ya kazi kuu za barozi zetu nje, ili vijana watoke kwenda kufanya kazi nje,

Kuna nchi zinahitaji vijana wa fani hizo,

Ni serikali kukubali hili neno diaspora, tena lipewe umuhumu mkubwa kweli na kwa usaidizi wa serikali,

Vijana wapewe passport ili waende nje nje, wasifungiwe hapa , hali ni mbaya , nina vijana 4 wamemaliza chuo kikuu , na wote wameangukia kwenye magroup hayo huu ni mwaka wa 5,4,2,1, wapo nyumbani tu hawana matumaini yoyote, badala Mama kufungua nchi sijui waje wawekezaji , wawekezaji wenyewe kwa hizo nafasi wanakuja na watu wao,
Wakiajiri vijana wetu , basi ni wa kidato cha nne na wengine wasojua hata kusoma, kwa mshahara wa sh 7000 kwa siku.

Hivi serikali wakati wanaanzisha ma vyuo mengi, ni kwamba tulikuwa na upungufu sana wa watu wa fani hizo au ilikuwa ni sifa tu, na kuona ni kitu rahisi tu kuanzisha vyuo , kwa sababu ni kujenga majengo tu na kuwa na walimu na kununua mavitu ya kufundishia , basi.

Huo uwezo wa kufungua mavyuo kama kweli ni watu wa kujituma na kutafakari , kwa nini wasingefungua maviwanda, tunapenda sana vitu rahisi rahisi tu, hatuna uwezo wa kuona mbali,.

Tunajua kutenga bajeti, kujenga majengo, kununua vitabu, kupeleka walimu , basi kazi inajuwa imeisha, hao unaowafundisha utawapeleka wapi , hujui.

Inatafalisha sana uwezo wetu wa kufikiri.
 
Kuna mtu kamaliza 2010 ila hadi leo hajapata ajira na kuna mwingine kutokea course hiyo hiyo wa 2022 kapata kazi mwaka huo huo.

Kwa hiyo nitakachomwambia mtu yoyote ni

1.kuwa nondo kwenye kile anachokisomea kwa sababu competition ipo stiff. Tena kama unaweza piga Gpa ya kushangaza fanya hivyo maana graduated programs za makampuni makubwa zipo nyingi ila exceptional grades zitakubeba
.

2. Connections connections, kupata mtu wa kukuambia "lete cv kuna gap sehemu flani ni muhimu sana"
.

3. Kuijua career yako mapema. Hili kosa mimi nililifanya pia kwa kusubiri nitoke chuo ndio niingie mjini. Haina formular hiyo, kuna watoto wa chuo unakutana nai kwenye hizi private companies wanapiga kazi na wanapendwa haswa kwa sababu hakuna attachment wala kuwalipa pakubwa. Kwa hiyo hizo likizo wanazopata sio za kulegeza mwili, ingia mjini mapema utengeneze cv na connections kabila hujamaliza chuo
.

4. Ukiwa chuo jichanganye kwenye clubs tofauti tofauti AISEC au YUNA, huko napo huwa kuna connections haswa za zile affiliated Org haswa ukiwa kiongozi na peformer
.
5. Develop soft skills, upo chuo na freedom kama yote. Acha kutumia muda wote kuangalia series. Jifunze hata graphic design, photography, videography, social media management, copywriting na vingine ambavyo vingi vipo YouTube
.
6. Online presence haswa twitter na linkedin, kajichanganye huko, post post vitu vyako. Interact na watu vizuri maana huko napo kuna connections za bure haswa kwa msio na powerful surnames. Onesha uwezo sio unakaa unachekacheka tu
.
uliyafanya haya utakuwa ahead of the game mtaani na kwenye career maana ndio dunia inapoelekea ila graduates wachache wanayajua haya. Sijatunga ila nimeviishi na nimeona kwa watu wengine vikifanya kazi 100%, so, silaumu mtu ila nimewapa elimu kiasi
 
🤣🤣🤣🤣 Nina jamaa yangu tulimaliza wote IFm alikua na GPA ya 4.6 now yupo shinyanga anapambana kupata madini. Kuna ajira Tena nyingi zilitoka za bank assurance na walibana kweli kweli kwenye GPA. Cha ajabu Kuna jamaa nilikua napambana naye mtaani kutafuta just wateja tu ili tupate vikamishen vya bima na alikua na GPa ya 2.9 akatoboa na hakua na connection yoyote. Mi naungana na wadau wengine kwamba vyuo vibadilike. Mitaala ibadilishwe. Nenda kasomee insurance au actuarial science Kenya then linganisha na WA TZ utashawashangaa sana Watz. Ni aibu. Mi pia Niko mtaani almost 4 yrs now lakini nilijiongeza na Nina wateja wa bima kibao tu na napata ela ambayo hata doctor hospitalin mwajiriwa hapati na sitaki kusikia mambo ya kuajiriwa. Japo Kuna time kazi zinakata lakini ni kupambana na vibiashara vingine vidogo dogo. Si muda naingia kwenye kilimo
 
Hatuwezi kupima ubora wa elimu kwa kigezo cha AJIRA. Never!

Na kwa nn hili la digrii kuwa na kazi linaanzia kuleta shida ukiliangalia kwenye ajira tu?. Ulishawahi kujiuliza
Sio kwenye level ya ajira tu, hata kwenye kipato, maisha ya kila siku, ustaarabu nk, kwa 90% wahitimu wa degree, hizo degree zao hazina mchango wowote katika maisha ya kila siku, kwao wenyewe na jamii.

After all, kwa 100% watu walikwenda kusoma degree ili wapate ajira au kipato. Sasa wakikosa ajira na kipato kupitia hizo degree zao, hapo maana yake ni wastage of resource.
 
Back
Top Bottom