Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%.

Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu ya vyeti vya chuo kikuu haina mchango wowote wa mhitimu wa level ya degree kuweza kujiajiri moja kwa moja. Hapa chini ni baadhi ya fani zinazoangukia kwenye kundi hilo.

1. Public administration
2. Political science
3. Business administration
4. Procurement and supply
5. Human resource
6. Sociology
7. Environment
8. Language
9. Mass communication
10. Tourism
11. Banking
12. Accounting
13. Economy
14. Finance
15. History
16. Insurance
17. Tax
18. Cooperative
19. Marketing
20.

Kama wewe ni mhitimu wa hizo fani kwa miaka ya karibuni utaelewa hicho nilichokiandika, na kama wewe ni mwanafunzi wa hizo fani anza kujiandaa kisaikolojia, hali ni mbaya mtaani. Wahitimu ni wengi na hawana ajira yoyote, wamechoka vibaya, wameshazunguka na mabahasha mpaka soli za viatu kuchakaa, wamejitolea mpaka basi, wameshikiza mpaka wamedondoka na wengi wamekata tamaa kabisa, vyeti vyao wamesahau hata vipo wapi, havina msaada.

Bado wanakula, kulala na kutunzwa na wazazi wao, mashemeji au wajomba. Wengine wameamua kujiajiri katika fani zingine ambazo hazina uhusiano wowote wa fani walizosomea na zenye kuhitaji elimu ya darasa la nne tu.

Wajanja wengine wameamua kurudi chuo, hususani kwa ngazi ya Diploma kusoma fani za ualimu au afya ili kuingia kwenye mkondo wa kuja kupata ajira hapo baadaye.

Jamani hali ni mbaya na tete.
Ukweli usemwe!
Asante mkuu kwa kulisema hili.Mimi nimelisema mara nyingi, lakini naona watu hawataki kulikubali ,hii ni kweli,and mind you, this is by design not an accident!

Soma hapa>>>>
Wakati wetu sisi kabla hujamaliza degree yako tayari umeshapata placement,lakini pole poole mambo yakaanza kubadilika.Mkuu niseme hivi,asiyeona ukweli huu atakuwa kipofu na mjinga.

Lakini tumefikaje hapa.Ni hivii,elimu tunayopewa is slave oriented,that is, it is meant to save the master: the NWO owned enterprises or corporations.However the master has changed his ways and is now preparing to use AI(Artificial Intelligence),and so has to slowly phase out his many human slaves and this is what in principle is happening.

Human slaves(the e employed),get sick,need to rest,get agitated which lids to reduced efficiency,need maternity leave in the case of women etc.So why have them.It is therefore time for people to change their mind set,and self employ,because there is little or no employment for degree holders anymore, and the situation will only get worse and not better.It is infact fair to say that degrees are useless.

But I said this situation is by design, not an accident.Read the following targets of The Illuminati and Committee of 300 a.k.a NWO,to see this truth.Read especially point number 10.What they are doing is to weaken the people’s morale and to demoralize the working class through large-scale unemployment, and therefore push them into drug and alcohol addiction. By doing this they are infact encouraging the youth to rebel against the status quo, which also leads to the weakening/dissolution of the family, through drugs and aggressive music.

I would strongly advice you and everybody else to go through the other targets carefully,this will help you to understand what is going on around the World.

The Story of the Committee of 300, Dr. John Coleman lists the ways and means the Illuminati and their accomplices plan to create a New World Order according to their design as follows:-

  1. The creation of a One World Government with one single church and one single currency under their control
  2. The total destruction of every national identity and all national pride, because only then will people accept a super-national world government.
  3. The destruction of every religion, especially Christian denominations. The only exception: a “religion” of their creation.
  4. The establishment of thought-control techniques with the goal of creating human robots who respond to external impulses and direction.
  5. The end of industrialization with the exception of the computer and service sectors. A “post-industrial zero growth society” is the goal. The other industry branches will be transferred to more cost-effective third world countries.
  6. To encourage or even to legalize drug usage and to make “art” out of pornography, which will first be generally accepted and finally be seen as totally normal.
  7. To undertake the depopulation of larger cities following the example of Pol Pot’s bloodbaths in Cambodia.
  8. The suppression of all scientific development except that which serves the purposes of the Illuminati.
  9. To bring about the premature death of 3 billion people by the year 2050—either through “regional warfare” in developed countries, or through starvation and sickness in under-developed nations. The Committee of 300 (under the direction of the Illuminati) commissioned Cyrus Vance (US Secretary of State under Carter) to write a paper on how such a population reduction could be managed. The paper was called Global2000Report and was accepted and approved of by President Carter and Edwin Muskie, the then-Secretary of State, for and in the name of the US government. One of the conditions of the Global2000Report states that the US population must be reduced by 100 million people by the year 2050.
  10. To weaken the people’s morale and to further demoralize the working class through large-scale unemployment and, therefore, to push them into drug or alcohol addiction. The youth should be encouraged to rebel against the status quo, which also leads to the weakening/dissolution of the family, through drugs and aggressive music.
  11. To stop people from determining their own fate by forcing them to weather one crisis after another and to learn to leave such crises to be dealt with by the government. The people will soon feel so overwhelmed by their “own fates” and many difficult decisions that they will become apathetic. There is already an authority for crisis management; it’s called FEMA, or the Federal Emergency Management Agency.
  12. To introduce new cults and support existing ones.
  13. To support Christian fundamentalism, which will then, through identification with “God’s Chosen People”, support the goals of the Zionist Israeli state with, among other things, great sums of money.
  14. To push for the spread of religious sects like the Muslim Brotherhood or the Sikhs and to carry out thought-control experiments similar to the ones Jim Jones carried out in his camp in Jonestown (Guayana) before the c. 900 followers of his People’s Temple were killed or committed suicide on command (November 1978).
  15. To circulate ideas with respect to religious freedom around the world in order to undermine all existing religions, especially Christianity. This process has already begun with the so-called “Theology of Liberation”.
  16. To provoke a collapse of the world economy and thus create total political chaos.
  17. To take over control of all domestic and international policies of the USA.
  18. To ensure that supra-national institutions (e.g. the UNO (United Nations Organization), the IMF (International Monetary Fund), the BIS (Bank for International Settlements), the ICJ (International Court of Justice), etc.) receive the greatest support, while, at the same time, local and national institutions become decreasingly able to act by systematically destroying them or by bringing them under the controlling umbrella of the UNO.
  19. To infiltrate and take over all governments in order to insidiously dissipate and destroy the sovereignty of each nation from the inside.
  20. To create an international terrorism and to negotiate with terrorists whenever terrorist activities have occurred.
  21. To take control of the education system in the USA with the goal of completely destroying it.
 
Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%.

Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu ya vyeti vya chuo kikuu haina mchango wowote wa mhitimu wa level ya degree kuweza kujiajiri moja kwa moja. Hapa chini ni baadhi ya fani zinazoangukia kwenye kundi hilo.

1. Public administration
2. Political science
3. Business administration
4. Procurement and supply
5. Human resource
6. Sociology
7. Environment
8. Language
9. Mass communication
10. Tourism
11. Banking
12. Accounting
13. Economy
14. Finance
15. History
16. Insurance
17. Tax
18. Cooperative
19. Marketing
20.

Kama wewe ni mhitimu wa hizo fani kwa miaka ya karibuni utaelewa hicho nilichokiandika, na kama wewe ni mwanafunzi wa hizo fani anza kujiandaa kisaikolojia, hali ni mbaya mtaani. Wahitimu ni wengi na hawana ajira yoyote, wamechoka vibaya, wameshazunguka na mabahasha mpaka soli za viatu kuchakaa, wamejitolea mpaka basi, wameshikiza mpaka wamedondoka na wengi wamekata tamaa kabisa, vyeti vyao wamesahau hata vipo wapi, havina msaada.

Bado wanakula, kulala na kutunzwa na wazazi wao, mashemeji au wajomba. Wengine wameamua kujiajiri katika fani zingine ambazo hazina uhusiano wowote wa fani walizosomea na zenye kuhitaji elimu ya darasa la nne tu.

Wajanja wengine wameamua kurudi chuo, hususani kwa ngazi ya Diploma kusoma fani za ualimu au afya ili kuingia kwenye mkondo wa kuja kupata ajira hapo baadaye.

Jamani hali ni mbaya na tete.
Ukweli usemwe!
Mkuu mfumo wa elimu tulionao ni obsolete now kwa kuwa uliandaliwa as a form and source of slave labour.System hiyo is now being phased out to usher in the 4th industrial revolution which will use Artificial Intelligence mainly.Ni vizuri kwa hiyo tusome alama za nyakati na sisi tuanze kuji-adapt.Watch below and see how even the most sensitive jobs are being taken over by AI.
 

Attachments

  • VID-20241002-WA0000.mp4
    4.5 MB
Serikali Imejikita zaidi kwenye kuzalisha wahitimu/wasomi wa kuajiliwa zaidi. Nadhani inafanikiwa kwakuwa vyuo ni vingi na fani ni nyingi. Pia watu wamefunguka kusoma sana..ndio mana degree graduates ni wengi sana kuliko miaka ya nyuma..na vado enrollment rate inaongezeka kila mwaka katika ngazi zote. Serikali iangalie upande mwingine sasa wa kuweka mazingira mazuri kwa wasomi waweze jiajiri kirahisi mana tayari wasomi wengi washajua ajira rasmi za serikali ni chache, na pia kwenye private sector kuna scenarios nyingi zinapelekea ajira ziwe chache tena sio za kudumu. Najua tatizo haliwezi isha maana kote duniani Unemployment rate ni kubwa..mhimu ni kuwa mindset za wengi zibadirike mana huku private sector kuna "wa darasa la 7" wamekamata sekta za boashara na wanajimwambafy balaa, hivyo kushindana nao, weka elimu pembeni, fukia vyeti , jitoe ufahamu kisha ukishaanza basi tumia maarifa ya elimu yako kuwa vema zaidi. Kiujumla sekta binafsi ni ngumu pia japo inakupa mda wa kuchagua.
 
Back
Top Bottom