Kwa sasa Kenya ni nchi ya Kimaskini zaidi kuliko Tanzania, serikali ya Kenya yashindwa kulipa hata mishahara!

Siku hizi siwasikii tena na kale kamsemo kao wanakokapenda eti tuige ya wakenya.
Wakenya wana maisha magumu sana. Ukitokea Namanga kwenda Nairobi njia nzima kunanuka ufukara ukitazama nyumba zao ambazo nyingi ni za mabati. Ukipita Kitengela ndo unaanza kuona unafuu wakati unaingia town. Huko town kwenyewe kuna magorofa mengi ya watu wachache wanazopangisha apartments. Mkenya wa kawaida kujenga nyumba ni shughuli pevu.
 
Siku hizi siwasikii tena na kale kamsemo kao wanakokapenda eti tuige ya wakenya.
Nilishawahi sema hata ikitokea CHADEMA wameingia madarakani bado kitaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani kwasababu hawana uwezo wa kuongoza nchi. Wataendelea kulaumu CCM. Kama ilivyo kwa Ruto hata Zambia Hichilema huwa anawalaumu chama kilichokuwa madarakani na tayari kafeli mambo mengi. Ikitokea hiyo hali basi CCM kitakuwa chama tawala nje ya serikali.
 
Mkuu usifurahie jirani yako anapougua.
 
Tanzania ujiandae na hiyo hali muda si mrefu

Ufisadi kwenye Miradi na ukopaji n wa kiwango cha juu
 
Tanzania ujiandae na hiyo hali muda si mrefu

Ufisadi kwenye Miradi na ukopaji n wa kiwango cha juu
Waache wakenue tu ,hii global financial crisis itaexpose kila serikali yenye uvundo , Tanzania soon itaingia huko , kama Nigeria ,Ghana ,Kenya wote hao wana uchumi mkubwa Africa Ila Mbinyo wa uchumi unawanyoosha hii serikali ya Tanzania inayokopa kila siku IMF ili kujiendesha ndio inawapa matumaini na nguvu ya kucheka Kenya ?
Laiti ningejua yanayokuja ndani ya miezi michache ijayo mngelia sana na kupata kichaa kabisa
 
Mikopo yetu inaenda kwenye uwekezaji wenye tija na inayoinua uchumi unlike Kenya ambapo mikopo huelekezwa kwe uwekezaji usio na tija na pia nusu ya hela ya mikopo inapotea kwa upigaji na pilferage
 
Wakenya wanajituma kulima na kuuza mirungi, kunywa chang'aa na kupiga siasa za kikabila. Hivyo vitu ni kweli wametuzidi sana, vingine tupo tu sawa, tofauti hakuna.
Sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…