Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu


Kwani nani anamtetea? Anamtetea kuhusu nini? Hivi mtu mwenye akili anamtetea marehemu ambaye hana stake yoyote na tunachofanya ili iweje?

JPM amekwenda na hatarudi hata mkianzisha kesi kila uchao. Watanzania watawadai walio hai kupata maslahi yao. Ni ujinga uliopitiliza kufikiria kwa sasa JPM ana impact yoyote.

CCM, tena wale waliofikiria ni marafiki, ndio wanakwaana. Ngoja tuone mziki utaishia wapi
 
Kuua ni dhambi na Mungu hawezi kuruhusu. Mahakama kazi yake nini? Madikteta ndio hufanya kila kitu wenyewe na kutaka kuabudiwa kama mungu.
 
Angekuwepo asome kitabu chake ingekuwa poa sana..
Kama walimu walisema alivuta bangi na kung'oa dirisha la shule
Na mama yake mzazi alisema ni kichaa mimi ni nani nikatae
 
Angekuwepo asome kitabu chake ingekuwa poa sana..
Kama walimu walisema alivuta bangi na kung'oa dirisha la shule
Na mama yake mzazi alisema ni kichaa mimi ni nani nikatae
Kichaaa hata wewe ni kichaa Kwa Wakati wako.
 
Sahihi mkuu
 
Wewe jamaa una kichwa kigumu sana au sijui unafanya makusudi tu, kwani ni wapi ambapo nimesema wewe na watu WA aina yako muache kumsema Magufuli?

Mimi SI nimetoa maoni tu kama wachangiaji wengine?

We jamaa mbona unanilisha maneno Mimi wewe,? Wapi nimesema au kuwauzia msiandike mabaya ya Magufuli? Mbona unanilisha maneno kipuuzi hivyo?

Mimi kukwambia wewe kiranga ni mjinga sana Kwa tabia yako ya kulewa ovyo mpaka unaisahau familia yako, simaanishi kwamba tabia hiyo unatakiwa uiache au uendelee nayo.... Bali Mimi nimetoa maoni yangu kuhusiana na tabia yako ambayo binafsi naona ni ya kijinga na haina manufaa, suala la kuiacha tabia hiyo au kuendelea nayo ni juu yako mwenyewe.

Kuhusu kumuamini Kibendera eti kisa Bado hajashtakiwa mahakamani huo ni ujuha uliochanganyikana na upumbavu.... Mtu wa dizaini yako inaonekana hata siku ukiletewa taarifa kwamba mama yako alikuwa ni kahaba WA kujipanga barabarani na hata wewe alikupata katika mazingira hayo na hata huyo mzazi wako ambaye mama yako amekuwa akikuaminisha ndio baba yako sio baba halisi..... Kwa akili zako utamuamini mtu huyo mpaka pale mama yako atapokuja kuprove otherwise ikiwemo kumshataki mtu huyo mahakamani hili athibitisho...na endapo kama mama yako hatokuwepo wakati huo au akishindwa Kwenda mahakamani Kwa sababu zozote zile basi utamuamini mtu huyo Moja Kwa Moja kwamba mama yako alikuwa ni kahaba, hivi ndivyo jinsi akili yako ilivyi fupi japo unajiona una akili sana.
 
Eti "Magufuli alimbaka mtoto wake mdogo mwenye umri WA miaka 16 kisha akamuambukiza HIV halafu baada ya hapo akamuua".. kabisa?

Hakika ni wapumbavu na majuha tu wenye chuki na Magufuli ndio wataamini hizi tuhuma za kitoto ambazo haziingiaa akilini hata kidogo.
 
Watu kumuandika kiongozi wao wa zamani ni historia.

Historia ni sehemu ya kujifunza makosa ili yasirudiwe.

Ukikataza watu wasijifunze historia, unaachia watu warudie makosa ya awali.

Huelewi nini hapo?

Sijasema umuamini Kabendera kwa sababu hajashitakiwa mahakamani. Nikikuambia unioneshe sehemu nilipokuambia umuamini Kabendera huwezi kunionesha. Ni wewe ngumbaru tu hujui kusoma kwa ufahamu.


Nimekwambia kama Kabendera kasema uongo na wewe unataka kuonesha uongo uki wapi na ukweli uko wapi, sehemu nzuri ya kuchunguza maneno hivyo ni mahakamani kwenye rules of evidence na perjury.

Ila nina shaka kama unaelewa hata perjury ni nini.
 
Tuhuma kubwa sana hizo.

Mshitakini tujue ukweli na uongo kwa standard za mahakamani.

Si kuhukumu kitabu ambacho hujakisoma kwa malumbano ya kelele zisizo na muelekeo wala tija za JF.
 
MUNGU ALIAMUA UGOMVI....Bila MUNGU kuingilia yule bwana alikuwa atumalize
 
Hakuna aliye mtimilifu, tujifunze kusameheana, ili kufupisha chain ya roho mbaya.
 
kwa hio bro kuwatetea single mother ni ngumu ?? 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…